Yericko nyerere hana sifa hata moja ya kuhoji weledi wa Tundu Lissu ni kijana anaeishi kwa uchawa na ujanja ujanja

Msemajiwao

JF-Expert Member
Sep 12, 2016
670
1,664
Yericko alizaliwa huko Iringa miaka ya 1984 akiwa ni mtoto pacha na mwenzake.

Yericko ni miongoni mwa watoto 7 wa mzee MKANA kutoka huko kwao.Kijijini Maduma Iringa!

Baada ya kumaliza shule ya msingi huko maduma alijiunga na secondary (jina kapuni) huko mtwara!
Baada ya kumaliza secondary na kufeli vibaya mwaka 2004! Alikimbilia mjini Dar es salaam kwa ajili ya kutafta maisha!

Kwa ajili ya utundu ujanja ujanja alifungua kijiwe cha kutengeneza radio kama fundi radio!

Moja ya wateja wake ni mimi mwenyewe nilimpelekea Radio yangu pale banana ukonga nikiamini ni fundi, kumbe wakati huo mitambo ya matangazo FM RADIO ilikuwa ina hitilafu! Hivyo akasema nimwachie jioni matangazo yaliporudi nilipokwenda kuchukua akasema Capacitor ya eria (antena) ilikatika kumbe ni uongo tu!

Yericko aliamua kujiunga na kozi ya ufundi Veta miezi 9 mnamo mwaka 2006!
Na hiyo ndo elimu ya ufundi miezi 9 veta ndiyo elimu yake kubwa aliyonayo hadi sasa!

Kwanini aliamua kujiita Yericko Nyerere wakati babake ni MKANA? Majibu haya hapa

Ndugu zake wote wa kuzaliwa wanaitwa ubini wa MKANA lakini yeye peke yake aliamua kubadili ubini kwa kiapo na kupeleka Rita.

Sababu za kubadili ubini ninkutokana na imani yake aliamini kwamba mzee mmoja mwenye jina la nyerere katika ziara zake huko mkoani Iringa. Kwamba ndiye aliyeacha mbegu huko kwa kile watu walimtania kwamba kafanana sura na mzee huyo!

Hivyo akili ya Yericko ilikubaliana na maoni ya watu akaamua kubadili ubini wa baba yake kwa hisia akiamini kweli ni mtoto wa mzee huyo aliyetambulika kama Nyerere!

Ndugu zake YERICKO ni Patrick Yohanes mkana, Yusta Yohanes mkana, Isaack Yohanes Mkana na Pacha yake amabaye ni Paul Yohanes Mkana lakini akili yake mwenyewe yeye alibadili jina lake na kuwa ni Yericko Yohanes Nyerere! (Hat ndugu zake hawajui nyerere kama ni baba wa ubatizo au ni nani hawajui!

Pacha yake nyerere ni mchungaji uchwara huko segerea.

Tukiendelea na maisha yake ya siasa!
Yericko kwa utundu utundu alijiunga na mitandao ya kijamii mwaka 2007 na baadae kujipenyeza kama mwana harakati kwenye siasa za mtandaoni!

Yericko alikuwa na urafiki karibu na mzee mmoja mstaafu wa jeshi ambae ndiye aliyempatia story nyingi. Kabla ya yeye kuziprint kama makala na baadae kuziweka vitabuni na kuongeza story chache kutoka quick leaks na mitandao mbalimbali!

Yericko hana elimu nyingine yoyote zaidi ya ujanja ujanja mjini!

Yericko hana sifa za kuhoji wala kutilia shaka weledi wa Mwanasiasa msomi na wakili msomi mzee Tundu Lissu ambae kakifia chama kwa jasho na damu!

Bahati mbaya Tundu lissu akiwa mwenyekiti wa chama baadhi ya vijana wanaotegemea maisha kupitia uchawa kwa mbowe au kwa watoto wa mbowe watakosa maisha.

Tundu lissu ni Kiongozi mkubwa hawezi kutiliwa shaka na kundi la vijana ambao hawana elimu wanaotegemea ujanja ujanja ili waishi.
 
Screenshot_20241225_150148_Instagram.jpg
 
Ahsante kwa taarifa mama yake Yeriko Nyerere
 
Yericko Nyerere njoo uoneshe kuwa una hata Diploma ya kitu flani. Maana huyu jamaa ameua sana hapa. Ni kweli wewe na Mbowe Elimu zenu yeye kakuzidi kidogo? Haidhuru haya yote ni maisha.
 
Back
Top Bottom