Yaya Toure analalamika nini? Sio kila siku yeye, Aubameyang naye anastahili tuzo, eboh!

Mimi binafsi sina ushahidi na sijaweza kuupata. Ila stats zingepatikaba tungehukumu vzuri sana na kwa uraisi
 
Kuuzwa mchezaji sio lazima kuisha kiwango kuna mambo mengi yanasababisha mchezaji kuuzwa huyo Aubemeyang wako kwa ligi km EPL au Laliga level ya timu kwake ni Malaga ,Swansea ama Southampton.
 
Na ni timu zilizopo nafasi nzuri kuliko bingwa mtetezi. Ukimuona akicheza usingesema hayo maneno.
 
Mjomba Dortmund nimeiangalia na yy yupo lkn acha tuwe wakweli chukua performance yake msimu huu kwa timu yake na Taifa lake mlete Yaya Toure naye uone mxaada wake klabu na Taifa hapo utanielewa nin namaanisha.
 
yaya ni floopy kama huamini mwakani anakuja gurdiola na viungo wake wa maana utaona kama huyo mtumbo yaya atapata namba labda ahame, huchelewi kumsikia akilalamika kuwa hapangwi kwasababu ya rangi yake(racism) huku katutukana waafrika wenzake, pathetic toure.
 
Amini Usiamini Guardiola atakuwa km Van Gaal akija EPL kumbuka Van Gaal kafundisha Barca kwa mafanikio pia Bayern lkn amekuja EPL hali ni tofauti tutarajie Man City ikidrop kwa kasi km itakuwa na hali ya kibaguzi
 
Woiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Elimu Elimu Elimu, kwani usiposhinda huweziiiiiiiiiiiiii. Inabidi asubiri tuzo ya mchezaji bora ligi ya uingereza,,,,,,,,,
 
Amini Usiamini Guardiola atakuwa km Van Gaal akija EPL kumbuka Van Gaal kafundisha Barca kwa mafanikio pia Bayern lkn amekuja EPL hali ni tofauti tutarajie Man City ikidrop kwa kasi km itakuwa na hali ya kibaguzi
Humjui van Gaal ww
Wapi ambao hajafukuzwa??
 
Yaya kashuka kiwango, Aboumayang hadi anapokea tuzo performance yake ilikuwa juu, mimi kwakweli naona tuzo imekwenda kwa mtu sahihi, halafu anavyolalamika ajue anajishushia tu heshima, angefaa ampongeze dogo, halafu aongeze bidii.
 
Amini Usiamini Guardiola atakuwa km Van Gaal akija EPL kumbuka Van Gaal kafundisha Barca kwa mafanikio pia Bayern lkn amekuja EPL hali ni tofauti tutarajie Man City ikidrop kwa kasi km itakuwa na hali ya kibaguzi
Kabisaaaa, EPL ni kitu kingine kabisa, weka mbali na watoto! EPL ndo kipimo cha kocha bora! Guardiola bado hajatestiwa!
 
Mjomba Dortmund nimeiangalia na yy yupo lkn acha tuwe wakweli chukua performance yake msimu huu kwa timu yake na Taifa lake mlete Yaya Toure naye uone mxaada wake klabu na Taifa hapo utanielewa nin namaanisha.
Alitaka ashinde mara ngapi?
 
Kabisaaaa, EPL ni kitu kingine kabisa, weka mbali na watoto! EPL ndo kipimo cha kocha bora! Guardiola bado hajatestiwa!
Gadiola asishangae anakuja na kutunguliwa na stock city wataalam wa mpira wa nguvu hahaha
 
Hatuangalii ni mara ya ngapi kushinda kwahiyo mmemnyima tuzo kwa 7bu amechukua mara nyingi?Messi na Ronaldo wamechukua Zaidi ya Mara 7 wamekuwa wakipokezana mbona hawatolewi kwa 7bu wameshabeba Mara nyingi?? Tunachoangalia ni ubora wake yy na msaada kwa klabu na Taifa lake
 
Kwani Aubemeyang kachukua mara ngapi?
Msimu uliopita Messi aliisaidia Barca kuchukua baadhi ya vikombe, ila ni ronaldo ndo alishinda Ballon d'or! Kwa fifa na europe ni sawa ila kwa afrika sio sawa??
MKUU naona tunabishana weka takwimu za kila mmoja hapa
 
Back
Top Bottom