Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 22,109
- 27,155
Ubora wa miundombinu ni pale unapoishi, kuisifu miundombinu usiyoijua ni ujuha.DSM mvua kubwa sana inaonyesha Lakini madhara yanadhibitiwa na hakuna Vifo
Nairobi kwa Siku ya Jana tu Mafuriko yameuwa Watu 49 na makazi zaidi ya 10000 kuzolewa na Mafuriko
Hongera RC Chalamila kwa usimamizi Mzuri 😀