Propaganda itolewe kwenye page officials?tumia akiliPropaganda za Simba ili Yanga ikose fedha
Unaumwa eehAisee kalale mkuu, maana hivyo visungura sio
View attachment 3263393
AsalaleeeeeePombe kali
Uli ongea na aisshAsalaleeeeee
Feehan zipi hizo?Propaganda za Simba ili Yanga ikose fedha
Na wewe umekuja ku comment humuhumu ku support upumbavu wao hivyo wewe ni .....CCM Ndio inapenda vijana Wa Tanganyika waweke nguvu zao huko kwenye simba Na YANGA".
Great Thinker.
Leo Tutaona Nyuzi za Simba na Yanga zaidi ya elfu 60 humu jukwaani.
TUKIWAAMBIA KUSHABIKIA SIMBA NA YANGA NI UPUMBAVU HAMUELEWI
Kwa nini mmezuia wasifanye mazoezi?Wakisusa wao siye twala. Simba wanajua nini kitawapata, wameona bora nusu shari, kuliko shari kamili. Leteni timu, mmeshajua mtagongwa hakuna namna. Kufanya mazoezi ni meamua kuitumia tu. Sisi tutaenda Uwanjani.
'Hivi wewe Huogopi?'TABULELE - TABU IPO PALE PALE.
Ukikimbia Nchale ,Ukisimama Nchale ,Ukitikisika Nchale.
Kwani huo uwanja ni mali ya Yanga mpaka wazuie timu nyingine kufanya mazoezi? Na unaweza kumtaja kiongozi yeypte yule wa Yanga aliyewazuia hao simba kufanya mazoezi?Yanga inatakiwa wasafishe hali ya hewa kwanza. Sababu ya kuwazuia Simba kufanya mazoezi ni ipi?
Walibeba mbuzi wawili kwenda kuwachinza uwanjani. Mna timu nzuri sana tena ya kuifunga Yanga ila hamjiamini hadi mlogeAliyezuia mazoezi ni nani??
Tunapenda sana kujadili hisia.Kwani huo uwanja ni mali ya Yanga mpaka wazuie timu nyingine kufanya mazoezi? Na unaweza kumtaja kiongozi yeypte yule wa Yanga aliyewazuia hao simba kufanya mazoezi?
Bunju sio mbali ndugu tutawafuataWakitaka hata Bunju waseme tu tukacheze nao. Ila siyo kutukumbia kwa kisingizio cha kushindwa kuroga.
Binafsi natamani sana kujikita kwenye uhalisia. Na hakuna hisia yoopte ile. Je, sababu ya simba kususia mechi ina mashiko? Kwa kisingizio cha meneja wa uwanja kuwazuia kuingia kufanya mazoezi siku ya mwisho?Tunapenda sana kujadili hisia.
Uaneni 😁😁Yanga yasema mechi dhidi ya Simba ipo
View attachment 3263285
TAARIFA KWA UMMAUongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu Umma kuwa, mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC, uliopangwa kuchezwa leo tarehe 8/3/2025, dhidi ya Simba SC, saa 1:15 usiku upo palepale na hakuna mabadiliko yoyote.
MACHI 08, 2025
Young Africans SC kama wenyeji wa mchezo, tunaamini taratibu zote za mchezo kama inavyoelekezwa kwenye kanuni za Ligi Kuu ya NBC, ziko sawa na maandalizi yote yako tayari.
Soma Pia: Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao
Uongozi wa Young Africans SC utapeleka timu uwanja wa Benjamin Mkapa kama inavyoelekezwa kwenye kanuni, na hatutakuwa tayari kucheza mchezo huu siku nyingine tofauti na leo.
Tunawaalika uwanjani Wanachama, Mashabiki, Wapenzi wa Klabu yetu na Wadau wengine waliosafiri kutoka mikoani, nchi za jirani na sehemu mbalimbali duniani kote kuja kushuhudia mchezo huu mkubwa Barani Afrika.
Imetolewa na Mtendaji Mkuu
Andre Mtine
Young Africans Sports Club