Man Thom
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 732
- 904
Mkuu unaikosea Simba bhana...kama ni hivyo basi sheria na kanuni za soka zisingekuwepo, hata kama ni ushabiki ifike wakati tuheshimu na sheria za soka basiMikia mpira umewashinda mwaka huu hata kuteka watateka