Hivi na simba si walishiriki mpaka waziri wa wizara husika akwamwagia sifa kibaoSasa nipate wivu kwa losers?FA mmetolewa na Singida,ligi kuu hamna chenu
Ok asante mkuuSaa nne kamili usiku huu,angalia azam
Watafungwa 2-0Sasa we si ubashiri na ww kama wanashinda
Chanel gan?Saa nne kamili usiku huu,angalia azam
Hata mi ningependa ishinde kwa vile inatuwakilisha lakini uwezo wako mdogo,hawana Yondani,Kamusoko,Chirwa,Ajibu,Tambwe unategemea nini hapo
Huu ni utabiri wangu unaweza kubashiri pia!
kwani huyo waziri anayatamani tena hayo maneno yake??? ukimuuliza atakwambia aliropoka tuHivi na simba si walishiriki mpaka waziri wa wizara husika akwamwagia sifa kibao
Una wivu kama mkeo?Ingependeza saaana yanga kushinda. Tatizo uwezo "hawana".
Matamanio bila juhudi,maarifa n.a. mbinu ni bure!
Nawatakia wapate wanachostahili.
Ningewatizama lakini kuna "big match"siwezi kuangalia chandimu!
Naskia simba alitolewa na mwarabu uwezo mdogo sahvi anashindana na green warriorskwani huyo waziri anayatamani tena hayo maneno yake??? ukimuuliza atakwambia aliropoka tu
Bora aliyetolewa na singida, kuliko mikia fc ilitolewa na timu daraja la 3, Green warriosSasa nipate wivu kwa losers?FA mmetolewa na Singida,ligi kuu hamna chenu