Yanga kurudia historia ya mwaka 1998 ya kufuzu hatua ya makundi kwa kuwatoa Wahabeshi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,679
149,868
Mwaka 1998, Yanga ilifuzu hatua ya makundi ya Club Bingwa barani Afrika kwa kuichapa Coffee ya Ethiopia mabao 6 kwa moja katika mechi ya marudiano iliyofanyika uwanja wa Taifa tarehe 08/05/1998.

Katika mechi ya round ya kwanza mjini Addis Ababa, Yanga na Coffee FC walitoka sare ya mabao 2 kwa 2.

Mwaka huu wa 2024, naona historia inakwenda kujirudia kwani kuna kila. dalili ya Yanga kukutana na Wahabeshi wengine(Ethiopia Nigd Bank) katika mechi itayoamua nani atafuzu kuingia hatua ya makundi.

Kuna uwezekano Wahabeshi wataitoa Sports Club Villa ya Uganda, na Yanga wataitoa Vital'o ya Burundi. Kisha, Yanga na hawa Wahabeshi, watakutana katika hatua inayofuata ya kutafuta nani wa kufuzu hatua ya makundi.

Kilichotokea mwaka 1998 kwa Yanga kuwatoa Wahabeshi kwa kipigo cha bao 6 kwa moja, ndio kitakwenda kujirudia mwaka huu kwa Yanga kuwachapa Wahabeshi na kutinga hatua ya makundi.

Tofauti inaweza kuwa ni idadi ya maba illa Yanga ndio anakwenda kufuzu.

Time will tell.
 
Hongera kwa utabiri wako murua kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom