Yanga kupita kwenda robo simpo tu

1000221727.jpg
 
Mi nawashangaa sana watu wanaosema YANGA kuvuka makundi ni ngumu wakati kama YANGA atamfunga Al Hilal kuanzia 3 bila basi hata kuombea hilal apoteze dhidi ya TP Mazembe ili aongoze kundi
We calculator yako umedownload play store nini?
 
Tupambanie Nbc na Crdb huko kwingine sio kesi sana hapa mission iwe kumpiga kolowizo 5 in a row na kuchukua hiyo NBC tena
 
Hakuna haja yakuombea sijui fulan amfunge fulan hapa niyanga ajishikilie ashinde mechi zake zote mbil hata kwagoli mojamoja amevuka, bila hata calculator
 
Back
Top Bottom