Yanga inahitaji ushindi ili kubeba ubingwa kesho, point 1 ni sheria ya zamani.

gearbox

JF-Expert Member
Apr 20, 2024
320
886
Azam akishinda mechi zote atakuwa na points 69, Yanga ina points 68, Yanga ikitoa sare mechi ua kesho watalinga points na Azam, Kwenye head to head Azam yupo juu.

HEAD TO HEAD

Yanga 3 – 2 Azam

Azam 2 – 1 Yanga

Azam ana magoli mawili ya ugenini, Yanga analo moja, kwa kigezo hiki Yanga inahitaji points 70 na sio 69,

Kesho Yanga wasicheze kwa kurelax, wahakikishe wazoa points zote
 
Kwahiyo yanga anamchezo mmoja tu ndio lazima ashinde ila azam ana michezo 3 ndio anafikisha alama 69?? Duuh kweli mmevurugwa. Mpeni timu mgunda chap
 
Watanzania tokea mkalilishwe na CAF ile kua Team zikilingana Points Team itakayopita tutaangalia Head To Head...basi mmejisahau kabisa mnahisi hata League kuu hua wanaangalia hizo Head To Head we Mbumbumbu Ligi hawaangalii Head To Head wanaangalia Goal Difference

picha ya kwanza ni CAF

Ya Pili ni Ligi kuu

SOMA MANENO YA MWISHO KWENYE KILA PICHA YALIYOPO CHINII
Screenshot_20240513-063933_Flashscore.jpg
Screenshot_20240513-063854_Flashscore.jpg
 
Yanga Goal Difference hadi sasa 45
Azam Goal Difference hadi sasa 34

Ndio maana watu wanakwambia iwe isiwe Yanga ni Bingwa labda useme hawatompa Leo kwa Nidhamu ya kusema kua Mpira haueleweki kua Azam anaweza Funga kila game holi 10 akamfikia Yanga.
Ila kama akienda kwa hizi 2-1 Yanga aki Draw Leo atakua Bingwa tu labda Azam ashinde match zote kwa magoli kuanzia 7 kila game😂😂
 
Watanzania tokea mkalilishwe na CAF ile kua Team zikilingana Points Team itakayopita tutaangalia Head To Head...basi mmejisahau kabisa mnahisi hata League kuu hua wanaangalia hizo Head To Head we Mbumbumbu Ligi hawaangalii Head To Head wanaangalia Goal Difference

picha ya kwanza ni CAF

Ya Pili ni Ligi kuu

SOMA MANENO YA MWISHO KWENYE KILA PICHA YALIYOPO CHINII
View attachment 2989051View attachment 2989052
Tatizo ni elimu mkuu, mtu anaandika uzi bila kuwa na uelewa tosha juu ya hilo jambo.
 
Unaongea unasema Azam akishinda mechi zote zilizobaki anakuwa na points 69 alafu hapo hapo unazungumzia mechi moja tu ya Yanga aki droo. Kwann na kwa Yanga husemi aki droo zote zilizobaki au akishinda zote zilizobaki au mwenzetu kwenye msimamo wako ulionao wewe Yanga kabakiza mechi moja tu na Mtibwa?
 
Kama mtibwa angekuwa kwenye hali nzuri ya kutokushuka daraja, angebebwa na Yanga ili asishuke daraja, Yanga angepoteza hii game... Lakini hakuna namna vyovyote vile mtibwa anashuka daraja... Hivyo Yanga haitaji kum'beba Mtibwa...

Yanga anashinda
 
Back
Top Bottom