Yanga: Hatuna Mwanasheria, Hatuna Watu wenye Busara kwenye Uongozi, hatuna watu wenye Elimu ya kufaa

Wewe unakuja na nyingine kabisa! Wenzako wanasema walikuwa ni makomandoo, wewe unasema ni vichaa!
By the way, kutokana na taarifa za wazoefu; ni kwamba hata timu ya simba iliwaweka hao vichaa kuulinda uwanja kwenye mechi ya mzunguko! Na Yanga hawakwenda uwanjani kulazimisha kuingia. Walifika siku ya mechi, na wakaondoka na ushindi

Vyanzo vyako vinakusaliti,Yanga walifanya mazoezi,walichogoma ni kuingia vyumbani tu siku yamechi
 
Yaani mimi nataka mnipe picha yenye uhalisia! Hao Makomandoo wa Yanga walikuwa wangapi, na walikuwa na silaha gani kiasi cha kuwafanya muogope kuingia uwanjani!

Maana hili tukio mlilishuhudia nyinyi wenyewe.
Madai ya Simba si kuogopa kuingia uwanjani boss, ni kuzuiwa na wanaosadikika kuwa ni watu wa Yanga na Simba walipeleka malalamiko bodi ya ligi.

Swali langu kwako ni kuwa, hili tukio la kuzuiwa halikufanywa na Yanga?
 
Msitoe akina nani? Mbona mimi sikuzungumzii wewe kama nyie?nasema Yanga au Simba? Hakuna kanuni inasema wanapaswa kutoa taarifa anywhere. Elewa hapo ndugu yangu. Umesoma kanuni?
Mbona taarifa zote (ya simba na bodi ya ligi) zilionesha ya kwamba simba ilienda uwanjani kufanya mazoezi pasipo kutoa taarifa kwa wahusika wa uwanja!

Na hata walipofika ndipo wahusika walianza kupewa taarifa za ujio wao!
 
Sasa boss, kwahiyo mlitumika na mkaweka na mabaunsa kabisa kufanikisha shughuli ya kususa?
Walienda mabaunsa wao wenyewe. Una ushahidi wa mabaunsa kuwa wa yanga? Uwanja wa mkapa unalindwa kwa taratibu zake. Tangu lini mabaunsa mnaowaita wa yanga waka walinzi
 
Yaani mimi nataka mnipe picha yenye uhalisia! Hao Makomandoo wa Yanga walikuwa wangapi, na walikuwa na silaha gani kiasi cha kuwafanya muogope kuingia uwanjani!

Maana hili tukio mlilishuhudia nyinyi wenyewe.
Yanga wenye akili wawili tu
 
Mimi si mhusika simba na simba si team yangu. Ongelea kile kinachoonekana na si kinachodhaniwa. Simba hawakuhairisha match. Ndo maana unaona toka wameandika barua yao moja tu wakanyamaza. Sisi matamko daily yanayotufanya tuonekane hamnazo. Wao moja tu. Basi.
Matamko daily yako mangapi mkuu? Au tuseme ni kweli yapo, muathirika mkubwa wa lile tukio la kuahirishwa mechi ni nani?

Inaposemwa kuwa kulikuwa na mabaunsa wa Yanga je kuna picha zinazoonyesha hao mabaunsa kama ni wa Yanga? Je maneno yaliyosemwa kuonyesha usalama kuwa mdogo wa mechi ni maneno gani?

Ni kiashiria kipi kinaonyesha kuzuiwa kwa wachezaji wa Simba kufanya mazoezi ya kabla ya mechi kunahusiana na rushwa pamoja na kuondoa usalama? Rushwa inaathiri nini mechi kuchezwa? Hapa kuna sababu za kitoto pia toka bodi ya ligi na TFF

Simba wamecheza smart wamewaachia msala wenye mamlaka ya mpira.
 
Na waliosusia mechi nadhani wangeitwa vichanga. Maana watakuwa bado hawajafika kwenye hiyo level ya utoto.

Hapa nani kasusia mechi

Nanukuu

“” Bodi ya Ligi kupitia Kamati yake ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi imeamua kuahirisha mchezo tajwa hapo juu””

Mwisho wa kunukuu.
 
Yaani mimi nataka mnipe picha yenye uhalisia! Hao Makomandoo wa Yanga walikuwa wangapi, na walikuwa na silaha gani kiasi cha kuwafanya muogope kuingia uwanjani!

Maana hili tukio mlilishuhudia nyinyi wenyewe.
Nafikiri ulipaswa kuwaz kwanza nani anamiliki uwanja akisha kodi,na kwa sababu hiyo Viongozi wa Yanga waliweka ulinzi magetini kuwazuia Simba kuingia?Ulitaka watu waliokua kwenye mabasi washuke zianze vurugu pale nje?

Mbele ya geti la kuingilia mlipaki gari dogo ambalo mligoma kuliondoa mnataka simba wafanye nini?
 
Na waliosusia mechi nadhani wangeitwa vichanga. Maana watakuwa bado hawajafika kwenye hiyo level ya utoto.
Waliosusia ni Yanga wasiopenda game ichezwe Kwa kufuata Kanuni. Simba tuko tayari hata kesho kipigwe. Hatutaki points za mezani lakini mkiendelea na ujinga wenu huu na tarehe ikatangazwa chap tunachukua points3
 
Mbona taarifa zote (ya simba na bodi ya ligi) zilionesha ya kwamba simba ilienda uwanjani kufanya mazoezi pasipo kutoa taarifa kwa wahusika wa uwanja!

Na hata walipofika ndipo wahusika walianza kupewa taarifa za ujio wao!
Tate mbona kuna sehemu huelewi. Hakuna kanuni inasema watoe taarifa. Kama ipo iweke hapa. Haya mambo yanaenda kisomi. Kwa kanuni.
 
Acheni kujidhalilisha! Hao mabaunsa mnaowatumia kama kichaka cha kujificha, walikuwa mia ngapi mpaka wawazuie nyinyi wote kuingia uwanjani? Hoja zenu ni dhaifu mpaka basi.
Kwa hiyo ulitaka viongozi wa simba na wachezaji washuke kutokaa kwenye gari waanze kupigana/ kupambana na hao mabaunsa wa Yanga ambao wanakiri wao. wenyewe ktk crips zao kuwa walikuwa wanatekeleza maelekezo ya viongozi wao
 
S
Simba alisusia mechi kwa kushirikiana na hiyo bodi ya ligi. Kama asingetafuta kisingizio cha kujifanya anaenda kufanya mazoezi, hiyo mechi ingeahirishwa kimagumashi kwa sababu ipi?
Soma kanuni ya 31
 
Simba alisusia mechi kwa kushirikiana na hiyo bodi ya ligi. Kama asingetafuta kisingizio cha kujifanya anaenda kufanya mazoezi, hiyo mechi ingeahirishwa kimagumashi kwa sababu ipi?
We nae ndio wale wale, sasa alijifanya vipi wakati alienda uwanjani kufanya mazoezi kama kanuni inavyotaka akazuiwa. Akawaambia Bodi kuwa anahitaji swala litolewe uamuzi bila hivyo hachezi. Bodi wakakaa kikao wakaona Simba wanahoja wanahitaji kuchunguza ili watoe majibu, wakaamua kua hirisha mechi.
Una mlaumu vipi Simba hapo? Mfano Bodi wangesema hakuna kesi endeleeni na mechi Simba angekataa?
Fikiri kidogo basi.
 
Kwa hiyo ulitaka viongozi wa simba na wachezaji washuke kutokaa kwenye gari waanze kupigana/ kupambana na hao mabaunsa wa Yanga ambao wanakiri wao. wenyewe ktk crips zao kuwa walikuwa wanatekeleza maelekezo ya viongozi wao
Yanga hawana wanasheria, wangefunga kitengo cha sheria kuna mbumbumbu na wahuni
 
Yaani mimi nataka mnipe picha yenye uhalisia! Hao Makomandoo wa Yanga walikuwa wangapi, na walikuwa na silaha gani kiasi cha kuwafanya muogope kuingia uwanjani!

Maana hili tukio mlilishuhudia nyinyi wenyewe.
Mbuzi lini walikuwa chui maana Kila mada ni kubisha tu kubisha tu.Tukubali ujinga wa mabaunsa hata wangekuwa wawili uliharibu mipango.Basi lingeunguzwa moto nani angeulizwa.TYACHE UHUNI WA KITOTO.
 
Back
Top Bottom