Yanga chupuchupu kwa Majimaji mjini Songea, zatoshana nguvu

Kuna jamaa analia hapa eti kabeti kawapa ushindi Yanga direct win..
 
Yanga gemu tushapigwa...sioni uwezo kurudisha goli....mechi izi kocha hatakiwi kuchezesha mastaa , ni ngumu sana, chezesha wale wa kawaida
 
watani draw na Lipuli, draw na maji maji mjisahihishe mabingwa mara tatu wazee wa kusubiri mechi ya 12.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom