'Yanga aua Simba'

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
Njemba hiyo iliyopewa jina la Yanga kutokana na meno yake kuwa ya njano mno...ilimuua Simba mla watu kwa mkuki huko maeneo ya Muswimbazyi karibu na mbuga ya wanyama Mikumi.
'nilimchoma sehemu mbili muhimu'
Alinukuliwa.
 
Back
Top Bottom