Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 48,957
- 151,032
Binafsi najua hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi kwenye mechi za ligi pamoja na ile ya Club Bingwa dhidi ya Al hilal ya Sudan.
Swali: Kwakuwa hawa mabwana huwa hawakosi sababu, safari hii tutarajie kusikia nini kutoka kwao?
Je, wataendelea kusema GSM ananunua marefa?
GSM ananunua marefa wa CUF?
Yanga anacheza na timu ambayo nchini kwao kuna vita?
Waliokula 5, kwao kuna vita?
Nasubiri kusikia kutoka kwao maana najua tu watakuja na santuri mpya kama tulivyoona kwa misimu hii mitatu iliyopita.