Yanayojiri Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia wa Miaka 50 ya Azimio la Arusha

IMG_20170325_122155.jpg

Godbless Lema akifuatilia kwa makini hotuba ya kiongozi wa ACT wazalendo. Lema amehudhuria mkutano huo wa Kidemokrasia unaoendelea muda huu. CHANGE
 
IMG_20170325_122500.jpg

@zittokabwe akihutubia Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia
 
IMG_20170325_122651.jpg

Nafasi ya Ujamaa wa Kiafrika katika Uchumi wa sasa
Kumbukizi ya Miaka 50 ya Azimio la Arusha
Hotuba ya Kiongozi wa Chama @zittokabwe
 
Chombo cha habari kinapovamiwa tulitegemea kuona Rais Anachukua hatua lakini badala yake yeye ndio anazidi kuvitisha - @zittokabwe
 
Rais anasema kuna watu wanamkwamisha, Mimi nasema Adui wa Rais Magufuli ni Rais Magufuli - @zittokabwe
 
ACT si wana la kwao la Tabora? How comes wanajadili la Arusha mambo ya CCM?
 
Kila mara ya shughuli za Serikali Kaimu Jaji Mkuu anahudhuria shughuli hizo zote lakini Hatumuoni Spika wa Bunge, Je mmejiuliza kwann?-Zitto
 
Back
Top Bottom