Yaliyonikuta jana usiku

mimi ni mfanyakazi,jana niliingia shift ya saa nane mchana na kutoka saa nne usiku,mida ya saa nne na robo nikawa niko home,baada ya kula na kuoga,nikapanda kitandani kulala,maajabu nikashituka muda wa saa tisa usiku baada ya kusikia mbu wananiuma,kuangalia nikajikuta niko dining room juu ya meza ya chakula,hadi sasa sielewi nini kilinipata hadi kuwa pale.sijafanya maamuzi yoyote mpaka sasa kama kwenda kwa mganga au kuombewa,lakini niko safi wala hamna panapouma wala nilipochanjwa!naomba mawazo yenu wana jf

Ngoja Tuwaite Madaktari Bingwa Wa Tiba Asilia mshana Jr Na MziziMkavu Waje Wakusaidie Vizuri.
 
Huenda ulilala hapo hapo dining room ukaanza kuota unaenda kulala chumbani kuja kushtuka ukajikuta dining room...!!
au kama sivyo mbu walikubeba kukutoa kitandani na kukuleta dining room maana hata ww unapotaka kula hutenga msosi d room...:( :)
N A T A N I A
 
we ni dini gani?? kama MKORINTHO weka mifupa ya NOAH kwenye kila pembe ya nyumba yako halafu uje unipe updates
 
Mkuu, hiyo nyumba sio safi, itakuwa inamambo ya ushirikina. Kuna kipindi nilipata nyumba Ubungo kibangu ilikuwa baraa. Unalala chumbani na mlango wa chumba unafunga vizuri, asubuhi najikuta nimekaa sebuleni. Nilihama haraka na wala sikudai salio langu la kodi.

So mkuu kama unapanga hama haraka, vinginevyo utajikuta chooni au nje ya nyumba.
 
Back
Top Bottom