Yaliyomkuta Kitwanga kabla ya kung’olewa

Mtanzania waongo sana aiseee, wameitunga hii habari na kuongezea vinyama uzembe, ni Concocted story.


Nakubaliana nawewe....Of course hii ni story ya uongo...lakini magazeti mengi ndivyo yanavyofanya...yanaandika stori za kuungaunga tu, eti 'vyanzo vya uhakikia'...huu ni uongo...mimindiyo maana nawachukia waandishi wa habari wa Tanzania pamoja na magazeti yao...hawajibidishi kuandika habari zakina...wengi wao elimu yao ni ndogo...newsrooms zimejaa watu wa kiwango cha chini...wengi wao hawaandiki habari mpaka wapate 'bahasha ya khaki'...yaani miongoni mwa sekta zilizojaa rushwa ni sekta ya habari...ni uozo mtupu...wamiliki hawalipi mishahara mizuri...waandishi wengi wa habari ni freelancers au correspondents, yaani wanalipwa kwa habari waliyoandika miaka nenda miaka rudi, hawana nssf wala bima ya afya...wanafanyishwa kazi kama watumwa.

yaani uandishi wa habari wa Tanzania ni uandishi wa matukio...sasa wamekazana kuandika 'bunge live'....na pia kinachoitwa 'utumbuaji majipu'...wengi wa waandishi wa habari hawajui hata maana ya 'utumbuaji majipu', kama ni majipu yapo pia kwenye media zilizojaa uozo...
 
Back
Top Bottom