Yaliyomkuta Davido kutoka Sony, sasa ni zamu ya Ali Kiba

Jamaa ni mzuri, ila watu walim overate ili alete upinzani kwa Diamond kama kubalance game.

Kosa alilolifanya ni kudhani ile overate ilikuwa ya uhalisia na akaanza kulazimisha kuishi at an overated level.
well said bro. He ended up getting too engrossed in a false illusion of being the very best.
 
kumbuka miezi minne iliyopita [HASHTAG]#kingkiba[/HASHTAG] aliachia [HASHTAG]#Ajeremix[/HASHTAG] sijakuelewa kabisa ulivyosema ni mwaka sasa tangu aachie aje
 
Msanii akisign mkataba kuna malipi analipwa na stahiki zote. Ikiwemo mshahara, event gani akaperform, safari n.k

Redsan wa Kenya nae amesign Sony na nilimsikia akijibu ni kwanini yuko kimya muda mrefu akaeleza hayo na Sony ina wanamuziki wengi kila mmoja anapewa nafasi kwa muda wake
 
Njooni timu WASAFI timu nzuri kila siku ni furaha Mara lava lava Mara Raymond kachaguliwa tuzo za kimataifa kaenda kutuwakilisha East Africa yote,Hayo yanatoka WASAFI karibuni Usafini mambo mazuri yaja,Kaa mkao wa kula.
 
Alikaa miaka mitatu hakutoa Wimbo ila aliporudi akabeba tuzo 7 na akaenda kubeba 10+ za kimataifa.

Sisi hatuna wasiwasi hata asipotoa nyimbo mpya zile za zamani zinaishi na kiti chake kipo akirudi anafuta vumbi anaendelea kukaa.

kimbembe mnacho nyie kila mwezi mnataka kutoa Wimbo mpya.
 
Ishu ni jinsi gn wanasign mikataba wanasign bila uelewa wa kutosha khs mikataba husika
 
Africa namkubali tu Wizkid kila miezi mitatu anaachia hit song, na anawakilisha vyema Africa haobwasanii wenu wengine mboyoyo nyingi..

Natabiri Vanessa atawapiku Diamond na Kiba kimataifa siku si nyingi
 
Kheee.....kumbe hata mimi mrundi

Jamaa namfananishaga na mpishi wa pilau ambae baada ya kusifiwa, basi akaanza kuongezea manjonjo kwa kuweka asali, mapapai, nanasi, maziwa kwenye hiyo pilau akifikiri atawachizisha wateja wake kwa furaha kumbe ndio anaalibu
 
Hakuna kama Ali Kiba..UnStoppable toka Kariakoo hadi kwa Jay Z
Karibuni Kariakoo mwezi wa 9 tutaanza kuuza nguo na Energy Drink kwa wale ambao majogoo yamepoteza ufahamu, ukihitaji kuwa wakala tuwasiliane..
 
Hahahahahahah warundi nchini watakuwepo wengi tu Mkuu haupo pekee yako. Jamaa ana kipaji lakini bado hajajua namna ya kukitumia au ndiyo kishafika ukomo wake.
labda kile kipaji cha kusema "yau" "yoh"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom