Mfitinishaji
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 571
- 600
Hachukui round
Augustine Lyatonga while he was Min.for Youth,he tried that once in a while..akatupwa hukooo mbali!
una maana nape kawasaliti mawingu.........................Tumekuelewa Nape! Hapo ndipo ulipoweza kulifikisha suala hili. Kila mtanzania ameiona nia yako njema! Mungu akubariki sana! Sehemu iliyobaki ikikwama/ikikwamishwa kuwa mpole Mungu mwenyewe ataimalizia!
Nape na Kinana wameijenga CCM iliyokuwa mahututi akatukanwa matusi yote then linakuja jitu toka bara linataka kutuulia chama
Umuhimu wa shilawadu kamuulize aliyewapigia cm kuwapongezaaSiungi mkono uvamizi,lakini nadhani Ruge na uongozi mzima wa clouds ni wakati wa kutafakari baadhi ya mambo yaliyowafikisha hapo;
1.Kuna umuhimu wa kipindi cha SHILAWADU? Nionavyo mimi hiki ni kipindi ambacho kina utovu mkubwa wa maadili,kwani kimelenga zaidi kuanika maisha binafsi ya watukinyume kabisa na maadili ya mtanzania,leo utapita mgogoro huu ambao chanzo chake ni SHILAWADU,hatujui kesho SHILAWADU watasababisha mgogoro mkubwa wa kiwango gani.
2.Kama kuna umuhimu wa SHILAWADU je watangazaji wake "wanatosha" kuendesha kipindi nyeti kama hicho? Nitokee kwenye alichotuambia Ruge kwamba alipozuia kurushwa kwa habari ile aliwaagiza watangazaji husika kumnotify mkuu wa mkuu kuhusu mabadiliko hayo,inavyoonekana hawakutii maagizo ya bosi wao (kwa sababu wanazozijua wao) jambo ambalo naweza kusema limechangia kuleta mgogoro huo,lakini pia tunaambiwa vijana wale walipata mshtuko mkubwa baada ya ambush ile mpaka kuomba kupumzika kwa muda,hapa ndipo nnapozidi kujiuliza kama wanatosha kwa kazi wanayoifanya,kazi hiyo inahitaji ujasiri na kujiandaa kisaikolojia kwa lolote na muda wowote,leo kaja mkuu wa mkoa kuwauliza kwanini hawajarusha hewani kipindi wanaomba kupumzika kwa mshtuko je angekuja msela flani ambae wamemrusha vibaya kuwashikia *mguu wa kuku" si ndio wangeomba ardhi ipasuke wajifiche humo milele?Unapofanya kazi ya kufukunyua maisha ya watu usisahau pia kukaa mkao wa hasara.
Kwa maoni yangu kipindi hiki ni JIPU kwa sababu kubwa mbili;
1.Watu wanaweza kukitumia kuchafuana kwa kutumia influence zao za madaraka au fedha.
2.Kinaweza kuacha makovu ya kisasi kwa aliyechafuliwa akamalizia hasira zake kwa aliyemchafua,au watangazaji husika au kwa staff yeyote wa clouds.
NAUNGANA NA WOTE KUWAPA POLE.
Siungi mkono uvamizi,lakini nadhani Ruge na uongozi mzima wa clouds ni wakati wa kutafakari baadhi ya mambo yaliyowafikisha hapo;

Umemaliza kila kitu. Na hata jina la kipindi chenyewe naona kama upotofu mkubwa.Siungi mkono uvamizi,lakini nadhani Ruge na uongozi mzima wa clouds ni wakati wa kutafakari baadhi ya mambo yaliyowafikisha hapo;
1.Kuna umuhimu wa kipindi cha SHILAWADU? Nionavyo mimi hiki ni kipindi ambacho kina utovu mkubwa wa maadili,kwani kimelenga zaidi kuanika maisha binafsi ya watukinyume kabisa na maadili ya mtanzania,leo utapita mgogoro huu ambao chanzo chake ni SHILAWADU,hatujui kesho SHILAWADU watasababisha mgogoro mkubwa wa kiwango gani.
2.Kama kuna umuhimu wa SHILAWADU je watangazaji wake "wanatosha" kuendesha kipindi nyeti kama hicho? Nitokee kwenye alichotuambia Ruge kwamba alipozuia kurushwa kwa habari ile aliwaagiza watangazaji husika kumnotify mkuu wa mkuu kuhusu mabadiliko hayo,inavyoonekana hawakutii maagizo ya bosi wao (kwa sababu wanazozijua wao) jambo ambalo naweza kusema limechangia kuleta mgogoro huo,lakini pia tunaambiwa vijana wale walipata mshtuko mkubwa baada ya ambush ile mpaka kuomba kupumzika kwa muda,hapa ndipo nnapozidi kujiuliza kama wanatosha kwa kazi wanayoifanya,kazi hiyo inahitaji ujasiri na kujiandaa kisaikolojia kwa lolote na muda wowote,leo kaja mkuu wa mkoa kuwauliza kwanini hawajarusha hewani kipindi wanaomba kupumzika kwa mshtuko je angekuja msela flani ambae wamemrusha vibaya kuwashikia *mguu wa kuku" si ndio wangeomba ardhi ipasuke wajifiche humo milele?Unapofanya kazi ya kufukunyua maisha ya watu usisahau pia kukaa mkao wa hasara.
Kwa maoni yangu kipindi hiki ni JIPU kwa sababu kubwa mbili;
1.Watu wanaweza kukitumia kuchafuana kwa kutumia influence zao za madaraka au fedha.
2.Kinaweza kuacha makovu ya kisasi kwa aliyechafuliwa akamalizia hasira zake kwa aliyemchafua,au watangazaji husika au kwa staff yeyote wa clouds.
NAUNGANA NA WOTE KUWAPA POLE.
tena kwa sauti ya kisukuma....".....Nape....Mheshimiwa Nape mimi huwa sijaribiwi. Tena ukiniingilia ndo umeharibu kabisa......nitakutumbua.."
Nape ni chadema??Kwanini chadema ndio mnashadidia sana mambo ya udaku