YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

Pumbavu, kakojoe ulale. Usikose sherehe ya kumwapisha Magufuli, lofa mkubwa unaleta thread za kijinga hapa.
 
Neno Mpumbavu sio tusi, neno hili limetumika mara kadhaa kwenye kitabu cha dini Biblia. Neno hili linamaana ya mtu aliyepumbazwa au mtu aliye pumbazika.

Tukirudi kwenye kauli ya Mkapa aliyoitoa leo kwa viongozi wa UKAWA alisema ni Wapumbavu sababu eti wanawadanganya Watanzania kuwa wanakuja kuwakomboa wakati CCM ilishawakomboa Watanzania siku nyingi. Ni kweli kabisa viongozi wa UKAWA wamepumbazika na siasa uchwara ndio maana Mkapa akawaita ni Wapumbavu.

Kwa watu wasiojua kiswahili vizuri watakimbilia kusema Mkapa ametukana. La hasha, neno Mpumbavu sio tusi hata kidogo. Ndio maana alirudia kusema mara mbili, ni "Wapumbavu"

Hata mimi pia namuunga mkono Mkapa kwa kusema kuwa hawa viongozi wa UKAWA ni Wapumbavu sana. Huwezi kutuletea mwizi na fisadi kisha mnatuambia eti mwizi huyo amekuja kutukomboa, Pumbavu kabisa, bora tubakie na CCM yetu tuliyoizoea kuliko hao majizi yenu akina Lowassa. PUMBAVU SANA..

Mkuu hata angerudia kusema mara mia bado neno alilotumia linakuwa tusi. Nitakueleza kwa nini.
Kwanza nikupe maana halisi ya neno mpumbavu. Huyu ni mtu ambaye haelewi jambo hata akieleweshwa, ni juha au kwa maana nyingine ni zuzu. Sasa mawaziri wakuu wastaafu hawawezi kuwa wapumbavu. Lofa ni mzururaji tu asiye na kitu wala kazi kwa lugha nyepesi ni kama wale wanaoitwa chokoraa. Sasa mawaziri wakuu wastaafu hawawezi kuwa malofa.
Che Nkapa kuwaita hao watu waumbavu na malofa ni tusi kubwa kuwahi kutamkwa na raisi msataafu. Kuna kitu alikuwa amekunywa sio bure.

Halafu mkuu neno kutumika kwenye Biblia haina maana kwamba ni zuri kutumiwa kila mahali. Neno shetani limetumika pia kwenye Biblia hivyo huwezi kumwita mwenzako shetani eti kwa vile limetumika kwenye Biblia.
 
...huna bastola..? watu wanaingia mpaka ndani kwako wanaleta habari za kipuuzi unawaacha ? tandika za miguu huna kesi wamevamia bila kibali chako...
 
pole sana broo !
kua makini nao kwani anaekaribia kufa maji ukikaa karibu anaenda na wewe !
kiama chao kimefika kama kanu.
 
Darkness can not drive out darkness only light can do that, hatred can not drive out hatred only love can do that. Kiukweli makada mtakuwa mmekosa maadili kuishabikia kauli ya mkapa kuita upunzani wapumbavuuuu. Hii ni demokrasia na tunajenga nchi moja......
 
Mzee Mwinyi amenifurahisha sa na alipowaita wapinzani Ccm B,nimetafakari haya maneno nikaona yana ukweli ndani yake,Saa hv wanaongozwa na viongozi waliochota uzoefu ccm,wameupeleka uzoefu huo Ukawa na Chadema.
Tatizo ni kwamba wamejipambanua kwa ukanda na wengi wao wana tuhuma za ufisadi.
 
We fisadi nyamaza kama jk angewashindwa mngekuwa nadani ya ccm lakini chali kawakata wapumbavu nyie.

Anajutaje? Alidhani akileta uswahili wake watu wataendelea kumvumilia tu! Ona sasa nchi inaondoka!

Wewe hujui kitu, M.K.W.E.R.E mwenyewe anafahamu kuwa LOWASSA amemtonesha lile Tezi dume! Soon atakimbilia US tena! UKAWA ndio wanasapotiwa na wananchi walio wengi!

Ukiona mtu anashabikia CCM, jua mtu huyo ana matatizo ya akili au anafaidika na mfumo huu wa kinyonyaji!!!!

M.K.W.E.R.E angekuwa mahiri wa kukata, angejikata kwanza lile tezi dume, badala ya kukimbilia US kufanyiwa

operesheni na kuliingiza taifa hasara kwa sababu ya tabia zake chafu!!!
 
Methali 26

5Mjibu mpumbavu kama ustahilivyo upumbavu wake, asije akajiona kuwa mwenye hekima zaidi.

6Kumtuma mpumbavu ujumbe, ni kama kujikata miguu au kujitafutia shida.

7Methali mdomoni mwa mpumbavu, ni kama miguu ya kiwete inayoninginia.

8Kumpa mpumbavu heshima, ni kama kufunga jiwe kwenye kombeo.

9Mpumbavu anayejaribu kutumia methali, ni kama mlevi anayejaribu kungoa mwiba mkononi.

10Mtu amwajiriye mpumbavu au mlevi, ni kama mpiga upinde anayejeruhi kila mtu.

11Mpumbavu anayerudiarudia upumbavu wake, ni kama mbwa anayekula matapishi yake.

Nimependa sana hekima ya mzee Mkapa, viongozi wa UKAWA ni WAPUMBAVU kama mbwa alaye matapishi yake...
Huu ni ukweli unaouma

Ss ww na viongozi wako ndio wapumbavu!
 
kwani lowasa na mkapa nani anaonekana fit.....lowasa azeeeke mara ngapi, ndio maana juz kimandolu alitaka kujikojolea baada ya ufunguo wa choo cha mtendaj kutoonekana kwa mda, kisa uzee hawez himili lolote...pumbaaaavu
 
Hiyo tafsiri ya mpumbavu ulijifunza katika shule gani?

Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili iliyotolewa TUKi toleo la 2012

Mpumbavu maana yake ni mtu anayeshindwa kuelewa jambo ata akielekezwa, maneno mengine yanayoshabihiana na hilo ni juha,zuzu,jura,nyange,bagham,bahau,hambe,maarasi,zebe na mbumbumbu.

Kiswahili kigumu sana, sasa unaona hapo watu ambao lugha ya kwanza ni kiswahili na hatujui maana ya neno hili tunalolitumia kila siku,mpumbavu.Mpumbavu sio tusi ni hali ya mtu.
 
Back
Top Bottom