Yaliyojiri mkutano wa CHADEMA viwanja vya Ngarenaro Arusha

ndo maana huwa nasema Chadema kimejaa wasanii sana,,
alafu huyu mtoa post sijui kakimbilia wapi. hatoi updates tena,,
kama bado upo naomba nikuulize;
1. Tamko mlilosema litatamkwa je, linasemaje??
2. watu wamemsubilia lowasa aje, ameingia mitini, je tumuite msanii au nani? au ndo kapitiliza monduli kuchunga ng'ombe??

Hahaha hakika umenifanya nicheke.
 
Ni hivi wale wote waliowahi kumtukana Lowasa zamani kuwa ni fisadi na anaiibia nchi, hawatapata tena uongozi wowote kama wakiamua kula matapishi yao na kumsafisha. Lema alishamtukanaga Lowasa yeye, Dr Slaa na Joshua Nasari wakti wa kampeni za Arumeru. Mnakumbuka? ? Leo lema anadema Lowasa msafi kama theluji. Jamani jamani jamani jamani. Wana Arusha piga chini hili jamaa likajifunze siasa na sio huu utapeli na usanii

Sasa ulitaka amchukie. Arusha bado tunampenda sana lema Haijalishi . Hayo unayosema ni maneno tu hata kwenye kanga yapo. We bado haujaisoma no tu.
 
Leo tutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara viwanja vya Ngarenaro Arusha.

Mkutano huu utahutubiwa na viongozi wakuu wa UKAWA pamoja na Mh Lowasa,ni mkutano wa kihistotria ambao Viongozi wetu watazungumza na Watanzania kupitia Arusha.

Maandalizi yamekamilika.

mkutano unaanza kwa viongozi wa dini kusali,na kubariki viwanja hivi,CHADEMA tunaanza na Mwenyenzi Mungu

Mwenyekiti wa wilaya anaanza kwa kufungua rasmi mkutano
Anawashukuru wanaarusha kwa ushindi mkubwa wa kata 24 kati ya 25.

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php

Wazee wa kufungwa tumefungwa lakini chenga twawala.Kama kawaida yenu nyomi yakutosha ila magoli mnaachia
 
Ujinga huu utakusaidia nini ndg unaandika upumbavu humu Ikiwa huna wa maisha kwamba kesho itapita vipi hao CCM unaowashibikia kwa ujinga huu sidhani kama wanakujua acheni Upumbavu

Hujamjibu aliyeuliza punguza mapovu Nyumbu. Jibu afya yake imeimarika? Ina maana anaumwa? Jibu hayo kwa faida ya wote pamoja na huyo alieuliza hapo juu

Wewe hao chadema au ukawa unaowashabikia wanakujua? Au ndiyo nyani haoni kundule.
 
Ujinga huu utakusaidia nini ndg unaandika upumbavu humu Ikiwa huna wa maisha kwamba kesho itapita vipi hao CCM unaowashibikia kwa ujinga huu sidhani kama wanakujua acheni Upumbavu
Ujinga uko wapi? Hiyo ni kauli ya Prof. Safari akisema kuwa afya ya Lowassa imeimarika sana. Ina maana alikuwa mgonjwa? Sasa kosa langu liko wapi? Mara nyingi majitu yanayokimbilia kuita wenzao wajinga ukiangalia vizuri menyewe ndiyo makingunge ya ujinga na ni mabingwa ya mihemko na kurusha mapovu.

Wewe unayetukana wenzio hapa Mbowe au huyo Lowassa anakujua? Una cheo gani huko au ni memba wa ile familia "takatifu"?
 
Hahaha aibu kubwa sana. Ufunguzi wa kampeni wa godbless lema live update page ya 7? Kweli UPAWA mvuto umeisha kwa wanainchi. Matrolls yananyea debe JF imekuwa kimya sasa hahaha huku DDOS Attack huku Deportation huku SEGEREA mwaka huu PRO MANYUMBU Mtaisoma namba.
 
Tume ndiyo inayopiga kura au? Ushindi ni ushindi tuuu. NA LEO MAGUFULI KAFANYA ZIARA YA GHAFLA UWANJA WA TAIFA ALGERIA WAMEPAGAWA NA WASHAPIGWA MBILI

Kakalia kiti cha watu, yuko pale kutokana na wizi, vigoli vyote vikarudishwa sasa tumekalia kaa la moto! Tukienda Algeria tunapokea kipigo cha mbwa mwizi!! She.nzy!!!!!
 
Ni hivi wale wote waliowahi kumtukana Lowasa zamani kuwa ni fisadi na anaiibia nchi, hawatapata tena uongozi wowote kama wakiamua kula matapishi yao na kumsafisha. Lema alishamtukanaga Lowasa yeye, Dr Slaa na Joshua Nasari wakti wa kampeni za Arumeru. Mnakumbuka? ? Leo lema anadema Lowasa msafi kama theluji. Jamani jamani jamani jamani. Wana Arusha piga chini hili jamaa likajifunze siasa na sio huu utapeli na usanii

Yeah, lema alisema ni heshima kubwa kwa Mungu kumzomea fisadi Lowasa.
 
Makamanda hawakati tamaa. Tumeshazoea porojo zenu hazitutishi. Lema kutud mjengon ni mpango mzma. Watachonga sana ila kwa lema wamegonga mwamba
 
Kakalia kiti cha watu, yuko pale kutokana na wizi, vigoli vyote vikarudishwa sasa tumekalia kaa la moto! Tukienda Algeria tunapokea kipigo cha mbwa mwizi!! She.nzy!!!!!

Hiyo kawaida sana katika mpira. Kamuulize wenger na arsenal yake kashiriki mara ngapi uefa na kombe kalibeba lini? Au kawaulize england na kushabikiwa kote huko world cup lini walifika fainali?

Kufungwa kwa leo tulitarajia kivumbi watakiona 2022 pale Rais Magufuli atakapokuwa ktk ngwee ya mwisho.
 
Rais wa Arusha ni Godbless Lema RAis wa Mbeya ni Sugu, Rais wa Dar es Salaam ni wako wengi tukianzia na Mnyika, Kubenea, Mdee, Mtolea, Waitara, na wa Kinondoni jina limenitoka. Kule Mbagala walifanya figusifigusi na kule Segerea yule Anatropia aliupoteza Urais. Ila pia ni makosa makubwa. Dar ni namba nyingine.
 
Tuliambiwa lowassa atatoa tamko zito kabisa!!!ukawa acheni kutishia kujamba wakati mnaharisha
 
Rais wa Arusha ni Godbless Lema RAis wa Mbeya ni Sugu, Rais wa Dar es Salaam ni wako wengi tukianzia na Mnyika, Kubenea, Mdee, Mtolea, Waitara, na wa Kinondoni jina limenitoka. Kule Mbagala walifanya figusifigusi na kule Segerea yule Anatropia aliupoteza Urais. Ila pia ni makosa makubwa. Dar ni namba nyingine.

Hata mimi ni Rais wa nyumbani kwangu, hata wewe unaweza kuwa Rais wa Manyumbu ila Rais anayepita na king'ora almaarufu nori nori nori nori ni mmoja tuu na ye ni JEMBE TINGATINGA MHESHIMIWA RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI.
 
Back
Top Bottom