Huu mdahalo ni wa watu gani?
Kwa maana ya:
1)watangaza nia kwa levo ya urais wa vyama husika.
2)Au viongozi wa vyama husika.
3)au kila mwanachama anayeteuliwa na chama kuwakilisha.
Jamani mnijuze,mi sielewi.
Tune channel 100 ya Azam TV....Info ChannelNaona azam two wameweka taarifa ya habari nini tena?
hii azam flash media ni matangazo tu,huo mdahalo siuoni
Huu mdahalo ni wa watu gani?
Kwa maana ya:
1)watangaza nia kwa levo ya urais wa vyama husika.
2)Au viongozi wa vyama husika.
3)au kila mwanachama anayeteuliwa na chama kuwakilisha.
Jamani mnijuze,mi sielewi.
Wahudhuriaji; Lipumba, Mbatia, Zitto, Makaidi, Kigwangwala...kaazi kweli kweli!Peter E. Mselewa said:Mdahalo wa Wasaka-Urais wa Upinzani
Tune channel 100 ya Azam TV....Info Channel
Link...hii azam flash media ni matangazo tu,huo mdahalo siuoni
Sijamuona Kigwangala jukwaani..Wahudhuriaji; Lipumba, Mbatia, Zitto, Makaidi, Kigwangwala...kaazi kweli kweli!
Mbona hamueleweki, ni channel gani sasa?
" Tuna lengo la kuleta itikadi ya kitaifa kwa sasa hatuna itikadi ndio maana sasa kuna udini na ukabila" -Zitto
Tune channel 100 ya Azam TV....Info Channel
Mbatia anagombea nchi gani,maana nae najua ametangaza nia vunjo km ilivo kigoma mjni kwa Zitto
alisema hatogombea tena jimbo la kigoma kaskaziniHaaa!
Zzk si alisema hatagombea tena ubunge?