Yaliyojiri matokeo ya Mbunge jimbo la Buyungu na uchaguzi wa madiwani kata 36 Tanzania bara

Tafadhali wale waliopo Buyungu na Tarime tunaomba mtupatie updates za huko kuhusu matokeo ya uchaguzi
 
Game over.
Sina mengi zaidi ya tuendelee kujipanga 2020 now akuna kitakachowezekana.
 
Usiwe na wasiwasi, kama hawatakimbia na masaduku ya kupigia kura, tutashida
 
Tunapigwa tu na mafisiem kwani huu ni wakati wao.
Refa wao
Uwanja wao
Mapolisiem wao

Why wasishinde?
 
*MATOKEO YA UDIWANI KATA YA TURWA TARIME MJINI KWA VITUO 13.*
1. BUGUTI ENEO LA WAZI
CDM 137
CCM 82
2. GIMENYA CHEKECHEA
CDM 69
CCM 128
3. KOKEHOGOMA ENEO LA WAZI.
CDM 81
CCM 62
4. REBU S/MSINGI B
CDM 101
CCM 83
5. REBU S/MSINGI A
CDM 88
CCM 77
6. REBU SEC A
CDM 86
CCM 97
7. REBU SEC B
CDM 123
CCM 91
8. KEBIKIRI ENEO LA WAZI A
CDM 48
CCM 64
9. KEBIKIRI ENEO LA WAZI B.
CDM 104
CCM 122
10. UWANJA WA NDEGE
CDM 81
CCM 67
11. UWANJA WA NDEGE B
CDM 83
CCM 83
12. MKUYUNI ENEO LA WAZI A.
CDM 69
CCM 57
13. MKUYUNI ENEO LA WAZI B.
CDM 94
CCM 75.
JUMLA YA KURA
CDM 1164
CCM 1088
*CHADEMA IMESHINDA KWA KURA 76.*
 
Mkoa wa Tabora!
Marudio ya Uchaguzi mdogo wa Madiwani
Wilaya ya Nzega
Kata ya Itobo-CCM
Wilaya ya Tabora Mjini
Kata ya Kabila-CCM
Wilaya ya Urambo
Kata ya Kiyungi-CCM
 
CCM KURA 1489
CHADEMA KUA 1160


*MATOKEO YA UDIWANI KATA YA TURWA TARIME MJINI KWA VITUO 13.*

1. BUGUTI ENEO LA WAZI
CDM 137
CCM 82

2. GIMENYA CHEKECHEA
CDM 69
CCM 128

3. KOKEHOGOMA ENEO LA WAZI.
CDM 81
CCM 62

4. REBU S/MSINGI B
CDM 101
CCM 83

5. REBU S/MSINGI A
CDM 88
CCM 77

6. REBU SEC A
CDM 86
CCM 97

7. REBU SEC B
CDM 123
CCM 91

8. KEBIKIRI ENEO LA WAZI A
CDM 48
CCM 64

9. KEBIKIRI ENEO LA WAZI B.
CDM 104
CCM 122

10. UWANJA WA NDEGE
CDM 81
CCM 67

11. UWANJA WA NDEGE B
CDM 83
CCM 83

12. MKUYUNI ENEO LA WAZI A.
CDM 69
CCM 57

13. MKUYUNI ENEO LA WAZI B.
CDM 94
CCM 75.


JUMLA YA KURA
CDM 1164
CCM 1088

*CHADEMA IMESHINDA KWA KURA 76.*
 
IPO siku wasiyoyategemea watawala watayaona. Ngoja watuone wananchi mafala. Kwa taarifa yao ndo wanaongeza chuki na ghadhabu mioyoni mwa wananchi
 
Kishindo? Nyie hamnazo kabisa! Yaani pamoja na vitisho vyote na vipigo na kuiba bado tuko na buku
Mpwa kama ma DAS mwenyewe wana tweet hivi bila hofu unadhani nani kawatuma kama sio alio wapa vyeo?
Tuandike maumivu tuu, labda azaliwe 'Tomaso Santara' wa Bongo ndio changes tutaziona sio hayo masanduku ya kufugia nyuki
IMG-20180812-WA0013.jpg
 
Back
Top Bottom