Yaliyojiri Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, kesi ya Mbowe na wenzake 3 - Kesi imeahirishwa hadi Nov. 29 2021

Ona janga lingine hili hapa. Hao mashahidi wapo mahabusu, hiyo access ya kuelekezwa cha kuja kuongea mahakamani wanaipataje? Bwana Jela gani atawapa ruhusa mahabusu kukutana na mawakili Wa utetezi? Jaji Jana alichemka vibaya sana.
Hakuna jaji hapo huyo atakuwa siyo jaji ni shetani mtupu, ni wakati wa kumsomea Alibadiri mapema ili iwe fundisho kwa majaji wa aina yake
 
Katiba mpya ni muhimu sana kwa taifa hili si kwetu sisi hasa tunaoishi leo hapana ila kwa manufaa ya kizazi kijasho.
Mkuu, kumbuka hapa tulipofika leo ni sababu ya katiba mpya, kesi ilikua imepotezewa ila yalipoanza makongamano ya katiba mpya basi ugaidi ukaingilia kati!!

Hyo katiba mpya inapatikanaje sasa, ukizingatia Hal halis ya watanzania asilimia kubwa hawajui maana ya katiba mpya wao ni kulalamika tu , Kisha wanapoa!!
 
Hapo hamna jaji kuna ibilisi ndani ya mahakama
Jaji yuko againt utetezi, wakisimama mawakili wa serikali anakaa kimya hata pale ambapo wanatumia abusive words, lakini eti utetezi kujaribu kujibu hoja ambazo zimejengwa kwa uzushi ili kumuoneshea jaji wamepotosha mahakama lakini jaji amewakingia kifua eti wasijibu hoja
 
Mawakili wa serikali wanapoteza muda kizembe sana na jaji hata hajisumbui kukemea, wanayoyaongea leo ndo hayo waliyoyaongea jana

Hii kesi chini ya huyu jaji itakua ni ngumu sana kwa upande wa utetezi
Jiamini mkuu
 
Jaji hajitambui ni kama kajitoa fahamu cha muhimu ni chadema wamkatae mapema ama asomewe Albadiri mapema
Sasa hata wakimkataa,huyo mwingine atayekuja ndio atakua hajapewa maelekezo ya nin cha kufanya kutoka mamlaka za juu yake?
Kikubwa ni mawakili wa utetezi wapambane tu.
 
Gaidi afungwe..anaichosha mahakama na mapingamizi ya kisiasa..judge umeona picture yakwmaba hao mashahidi upande wa magaidi wanaelekezwa mambo yakuja kuzungumza mahakamani..toka mwanzo nimesema hawa kazi yao nikuisumbua mahakama..wape kifungo chap na fimbo juu..

Mualifu ni mualifu tu hata dunia ipige kelele...ushahidi umenyooka hivyo alafu wanaleta bla bla mahakamani.
Mungu atajibu kwa wakati wake, we we na vizazi vyote utaalaniwa. Mbwa wewe
 
Kwa mara nyingine tena Leo jaji anasogezwa kwenye angle ngumu kupindua meza, hii ni kutokana na jaji kutupilia mbali mapingamizi kadhaa ya upande wa utetezi huko nyuma kuhusu kupokelewa kwa nyaraka /barua za upande wa serikali.
Kanuni ya functus officio inamkaba jaji hawezi kurudi nyuma kuamua upya alichokwisha kuamua.
Kwa wale waliokuwa wakiwapuuza mawakili wa utetezi kwamba wanachelewesha kesi kwa mapingamizi sasa waone faida yake.
Huu ni mchezo unaohitaji projection nzuri

Upande wa utetezi sasa wanatumia njia ile ile kuingiza nyaraka na hoja ni moja tu kwa jaji, tumia sababu zile zile zilizokufanya upokee nyaraka za awali tulizozipinga.

Mpaka sasa Nikiusoma mchezo naona mawakili wa serikali ni wepesi kwenye kushambulia kuliko kukaba, Leo wamepaniki sana
 
Gaidi afungwe..anaichosha mahakama na mapingamizi ya kisiasa..judge umeona picture yakwmaba hao mashahidi upande wa magaidi wanaelekezwa mambo yakuja kuzungumza mahakamani..toka mwanzo nimesema hawa kazi yao nikuisumbua mahakama..wape kifungo chap na fimbo juu..

Mualifu ni mualifu tu hata dunia ipige kelele...ushahidi umenyooka hivyo alafu wanaleta bla bla mahakamani.
Enenda ukatubu dhambi zako na umlilie Mungu akusamehe. AMEN
 
Kwa mara nyingine tena Leo jaji anasogezwa kwenye angle ngumu kupindua meza, hii ni kutokana na jaji kutupilia mbali mapingamizi kadhaa ya upande wa utetezi huko nyuma kuhusu kupokelewa kwa nyaraka /barua za upande wa serikali.

Upande wa utetezi sasa wanatumia njia ile ile kuingiza nyaraka na hoja ni moja tu kwa jaji, tumia sababu zile zile zilizokufanya upokee nyaraka za awali tulizozipinga.

Mpaka sasa Nikiusoma mchezo naona mawakili wa serikali ni wepesi kwenye kushambulia kuliko kukaba, Leo wamepaniki sana
Inavyoonekana atatoa maamuzi J3 next week ili waweze kujipa muda wa kukutana weekend hii.
 
Kwa mara nyingine tena Leo jaji anasogezwa kwenye angle ngumu kupindua meza, hii ni kutokana na jaji kutupilia mbali mapingamizi kadhaa ya upande wa utetezi huko nyuma kuhusu kupokelewa kwa nyaraka /barua za upande wa serikali.

Upande wa utetezi sasa wanatumia njia ile ile kuingiza nyaraka na hoja ni moja tu kwa jaji, tumia sababu zile zile zilizokufanya upokee nyaraka za awali tulizozipinga.

Mpaka sasa Nikiusoma mchezo naona mawakili wa serikali ni wepesi kwenye kushambulia kuliko kukaba, Leo wamepaniki sana
yes na hicho ndiyo kichachoonekana, Jaji atakuwa na wakati mgumu mno kama ataamua kukubali hoja za Jamhuri kwamba barua isipokelewe. unaposhambulia kwa kasi kumbuka pia kujilinda.. you need to balance btw attacking and defending.
 
Jaji Mkuu asipo tazama hii kesi kwa umakini, Mahakama inaenda NAJISIWA WAZIWAZI.

Mawakili wa pande zote WANAMCHEZEA MH Jaji kama Mwanasesere, wanamyumbisha kwa sababu ya kutokuwa MAHILI amejikutana anapigwa kama mpira wa Kona. Mawakili ni maofisa wa Mahakama wanapaswa kuisiadia Mahakama kutoa maamuzi yenye haki.

Sasa kinachofanyika ni kuviziana na kumfanya JAJI MWANASESERE WAO! Jaji alikubali Kielelezo cha Upande wa Jamhuri kiingie kinyemela, maamuzi ya hovyo kuwahi tokea; leo kakutana na UPUUZI ule ule walio fanya Mawakili wa Serikali na Mawakili wa Utetezi wameurudia; wanaomba JAJI APOTOKE KAMA ALIVYO POTOKA MWANZO.... Mahakama inapelekwa wapi JAMANI!

Mheshimiwa Jaji Mkuu litazame hili, huyu Jaji wa Kesi ya Mbowe na Wenzake anatia DOA MHIMILI WA MAHAKAMA.
 
Back
Top Bottom