kisepi JF-Expert Member Jun 9, 2015 2,113 1,103 Mar 23, 2016 #201 Hivi makonda ametangaza mali zake au hili zoezi ni kwa ajili ya wabunge tu?
ILAN RAMON JF-Expert Member Sep 10, 2013 9,619 4,406 Mar 23, 2016 #202 Makonda anafanya rehearsal ya utawala hahahah
B bantu.garage JF-Expert Member Oct 13, 2015 1,436 503 Mar 23, 2016 #204 Kwa Dar..the best ni Abbas Kandoro akifuatiwa na Mzee Makamba