Yaliyojiri bungeni - April 04, 2017: Mama Salma Kikwete aapa kuwa Mbunge, Kikwete ashangiliwa...

Katika hali inayoonyesha kuwa Watanzania kupitia kwa Wabunge wao wamemmisi Jakaya Kikwete Rais mstaafu, leo Bungeni wakati wa kuapishwa mama Salma, Wabunge wameshangilia kwa zaidi ya dakika 17. Naamini JPM atakuwa amechukia kuona JK akishangiliwa leo.

Wamemshangilia sana na wangine wamesikika wakisema tumekumisi urudi.....Ila punguza uongo hapo kwenye dakika 17.!
 
Achukie au afurahie hakuondoi ukweli kua JK ni best president kutokea Tanzania,we love him.
Leo hii?hivi kuna matusi yaliyobakishwa kwa JK na utawala wake? best president nitakubali lakini mahaba kwake nitawaita wanafiki tumemtusi sana yule mzee ila kwa busara zake akatujibu kwa ukimya na subira akisubiri muda ututie adabu! Tuliyonayo sasa si mapenzi bali majuto!
 
Back
Top Bottom