Kikokotoo Member Apr 28, 2017 36 42 May 5, 2017 Thread starter #21 SDG said: Chupi Kariakoo Click to expand... Mkuu ..Huenda huyu mtu atakuwa anauza Vifuniko vya Asali!
SDG said: Chupi Kariakoo Click to expand... Mkuu ..Huenda huyu mtu atakuwa anauza Vifuniko vya Asali!
theriogenology JF-Expert Member Oct 7, 2016 8,748 15,678 May 5, 2017 #22 Daah nitakuwa nime seviwa safari ndogo (kitwanga)
Kikokotoo Member Apr 28, 2017 36 42 May 5, 2017 Thread starter #23 Joseverest said: Mkuu leta listi nzima tujue Click to expand... Nyama Choma..Castle Light..Hajielewi! ..Nyanya Soko Kuu..Chupi Kariakoo..Bus Terminal. .Fundi Mkuu..Fundi Majeneza..Betri Low..
Joseverest said: Mkuu leta listi nzima tujue Click to expand... Nyama Choma..Castle Light..Hajielewi! ..Nyanya Soko Kuu..Chupi Kariakoo..Bus Terminal. .Fundi Mkuu..Fundi Majeneza..Betri Low..
Eck fulani JF-Expert Member Oct 14, 2014 457 595 May 5, 2017 #24 Hii thread ina wahusu walevi na bar maids.
Nyabhakangala JF-Expert Member Oct 9, 2016 841 793 May 5, 2017 #25 Hii imenikuta mimi mala kibao unamsevu dem jina la ajab alafu ana sahau kuwa ni yupi
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,554 70,748 May 5, 2017 #26 Kikokotoo said: Nyama Choma..Castle Light..Hajielewi! ..Nyanya Soko Kuu..Chupi Kariakoo..Bus Terminal. .Fundi Mkuu..Fundi Majeneza..Betri Low.. Click to expand... Hahaha umetisha
Kikokotoo said: Nyama Choma..Castle Light..Hajielewi! ..Nyanya Soko Kuu..Chupi Kariakoo..Bus Terminal. .Fundi Mkuu..Fundi Majeneza..Betri Low.. Click to expand... Hahaha umetisha
Lucky One JF-Expert Member Nov 27, 2013 663 430 May 5, 2017 #27 Huyo mhudumu asije akawa amenisave "BALIMI" maana ndo habari ya mjini hiyo