mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,233
- 22,427
Ni wauni fulani wanapiga pesa tu pale marekani.leo hii bunduki ya marekani aina ya M16 bei yake ni 650$ wakati ya urusi Ak-47 ni 150$.je! mfano unambiwa wew uchague bunduki bora utachukua hipi?kwa iyo kama wanaongoza kwa #budget kubwa ya ulinzi i thnk hata kitekinolojia watakua juu zaidi..