sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 437
- 2,670
Huyu dogo anaitwa Yahya Zaid wengi hawampi sana jicho na heshima yake. Lakini huyu ndio anaamua Azam icheze vipi na ushindi wa Azam mara nyingi unaanzia kwake.
Leo ikiwa ataanzishwa na akawa kwenye ubora wake kuna uhakika wa kuchangia magoli mawili kutoka kwake na kuliteka dimba.
Mechi ya leo itaamuliwa na Yahya Zaid.
Akiwa vizuri Azam itashinda na akiwa vibaya Azam itafungwa.