mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,205
- 9,856
Ngozi nyeusi ni laana.
c.c Jecha
c.c Jecha
Ina maana na jeshi limebariki kutolewa kwa jamaa??? Bora angekubali yaisheNimependa sana hii kauli
"Sitashirikisha wanajeshi wangu katika mapigano ya kipuuzi. Nawapenda wanajeshi wangu
Mkuu kama mkuu wa majeshi kasema hapelek mwanajesh wake hata mmoja unategemea nini hapoIna maana na jeshi limebariki kutolewa kwa jamaa??? Bora angekubali yaishe
Jamaa huwa ananifurahisha alivyosema kuwa anaweza kutibu HIV ndo niliona jamaa ni zaidi ya muongoDuh sasa ona shida yote hii sababu uroho wa madaraka. Yani unataka uingize nchi yako katika machafuko kisa uraisi...Halafu anasema "mungu" wake kasema asiachie ngazi
this happens only in africa
Jamiiforums nayo imtume mwandishi wa kujitegemea PASKALI Mayala kwa gharama zetu apande boti na kuvuka bahari kwenda mahali fulani na kumhoji mkuu wa huko nini msimamo wake kuhusu sakata la Gambia"
Ni mawazo yangu tuu, nimewaza kwa sauti.