Yaani Watanganyika tuwaombee viongozi wanaofisadi na kuuza bandari za Tanganyika! Haya ni majaribu

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,238
4,807
Tuwaombee ili wazidi kuiba na kuuza rasilimali za Tanganyika?
20230813_131602.jpg
 
Maombi yasiyotanguliwa na TOBA hugeuka LAANA,

Betina aliwaambia wachawi wawaroge wanaopinga bandari kuuzwa, hajatubu, anaenda Kanisani pia aombewe,

Anatafuta kupata na jambo baya Kwa ghafula!!
 
Back
Top Bottom