X wangu kaja hivi baada ya kujua nimepata mpenzi mpya

KUKU MAJI

JF-Expert Member
May 16, 2021
718
2,631
Ametoa povu baada ya kuona Nina mpenzi mpya....! Comment ziwe fupi fupi.

1000056424.jpg
 
Ujana una mengi, na hakika ni maji yamoto. Ana haki kusema yote hayo.
Ole wangu mimi niliyezeeka kama jogoo ambalo hata nyama yake hailiki...
 
Mwambie hata sura au reception haileti ada ya watoto.

Halafu na wew kwanini unamfanyia violence mwenzio, kwenda kudate na demu mwenye matako na unajua X wako hana.?
 
😹😹 Huyo ex wala asingepanic angeendelea na mambo yake, lazima wewe ungejishtukia umechukua kitu gani? Hata raha ungekosa na penzi lingebuma ndani ya muda mchache..!!

Mwambie awe anaudhuria vikao mjinga huyo kanikwaza kukupa ushindi wa mezani..!!
 
Back
Top Bottom