BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,194
- 2,299
Kama umeangalia hii mechi hutakuwa na sababu za kuhoji kwa nini goli la Yanga lilikataliwa.
Katika mechi hii ya ASEC VS AS du Tunis, mchezaji wa ASEC (POKU, km sijakosea) kapiga penaliti na mpira kugonga nguzo na kudundia ndani na kurudi nje lakini ule mpira ulikwa umeingia ndani 💯% na goli limekubaliwa.
Sasa siyo kuleta janja janja ya Bongo kwenye mambo ya kitaalamu. Unaweza kulia lakini usijue unalilia nini. Sasa hao mashaabiki wa Yanga walikuwa wanalilia nini. Ebu waangalie mkwaju wa penaliti ya POKU wa ASEC halafu wanyamaze haraka.