Nzokanhyilu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2007
- 1,078
- 101
- Thread starter
- #21
Mkuu Nzoka, asante sana! NAdhani umemaliza yote thanks alot!
Karibu sana ndugu.
Mkuu Nzoka, asante sana! NAdhani umemaliza yote thanks alot!
Mkuu na mimi niliuliza hapa,hizi degree kwangu mimi siziamini amini,si mnakumbuka ile degree ya Mhesh Mrema.Hivi wakuu naombeni mniambie mwenye kujua status ya online degrees! Kuna jamaa yangu anafanya MBA online, lakini mpaka sasa hivi mimi kwa kweli sina imani na degree ya kwenye keyboard!