Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 63,677
- 89,276
Precisionair ina hangar Airforce one ili-park!Yani hamna hata airplane hanger inayotosha ndege kama hio mpaka inabidi kazi ifanyiwe nje,, alafu wanatumia winch ya kawaida.....
Kisumu-Kakamega-Kitale highway about 180km ambayo mwisowe itjengwa hadi mpaka wa South Sudan
Some sections still under construction
Completed sections
Nilikua huko early last year ilikua bado hawajafika mbali, good to hear they are almost doneHiyo flyover ya mambo leo umeweka pale juu ilikamilika, even street light bims zimewekwa, some parts road markings zimechorwa, imebaki the part where railway line passes under, section being constructed by SBI (Solel Bone) ya Israel., then all the way to Kakamega is complete, flyover ya chavakali junction is done and in use, then from kakamega to Webuye work us on going, though flyover ya Webuye/Kitale junction pia is done, ile kubwa ya Eldoret/Kakamega junction ndio imekua halfway when I passed there last December..., tuna flyovers hadi mashinani, kwa wengine ni moja tu na iliwashasha.
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu tembo mweupe atapata wapi nyasi maana yupo jangwani.Lamu port
Click hi picha na u zoom uiangalia vizuri..... Bandari Ya mombasa imekua ikifanyiwa Upanuzi tangu 2012,... by 2017 bandari ya Mombasa ilikua inapitisha 30 million tonnes...... Kulingana na expansion Vs Demand, ikifika 2023 bandari ya Mombasa itakua imekamilisha upanuzi wa sehemu yote inayomilikiwa na KPA, ikifika wakati huo bandari itakua na uwezo wa kupitisha tani 55 Million (2.4 million TEUS) lakini demand itaendelea kuongezeka hadi ikifika 2029 demand itakua imefika 3.3Million TEUs (75 miliion tonnes) VS capacity of 55 million tonnes...... This is where lamu port comes in, all the 32 berths are expected to be completed by 2030......huyu tembo mweupe atapata wapi nyasi maana yupo jangwani.
Nzuri sana. Kenya has beautiful roadsDongo Kundu Bypass - This highway just takes me everytime, I wish all the highways in Kenya looked like this