Wolper vipi, makeup imedunda au ndo uzee?

halafu ukimuuliza ana umri gani atasema 26 wakati kasura kake kanaonesha kana 36 inakimbilia 40! nyie kina dada nyie muwe mnaangalia na mambo yakuongopa!!
 
Aiseee sijui alikuwa anaosha sufuria zenye mazinzi kwa kutumia usoo duuh hata bibi yangu hayupo hivo .......kama ndo kajiparura akawa hivi, akiamka asubhi si ndo tutaanza kukimbia
 
:(:(:( kazi ipo fenesi flani hivi photoshoot zinawaweba sana watu wote wangekua wanapiga na vitecno vyao tungekimbiana hapa mjini
 
Kama vile ametoka kula ule unga maarufu wa kina Ray C na Chid Benz!!! Nimeangalia kwa jicho la tatu.
 
Back
Top Bottom