Wizkid, Diamond na Mr. Flavour waula, kuandika historia Africa

Star wa Tanzania Diamond platnumz ni miongoni wa mastaa 3 wa Africa waliopata shavu la kufanya show kubwa zaidi nchini Marekani kwa wasanii wataotoka Africa kwa mara ya kwanza.

Wizkid, mr flavour na diamond watafanya show hiyo kwenye ukumbi mkubwa wa Barclyers center inaoingiza watu zaidi ya 20k

Ukumbu huu hufanyiwa show kubwa za wasanii wa marekani kama beyonce na nick minaj.

Tamasha hilo linaitwa one africa music fest, wasanii hao nyota wa africa watakiwasha jully 2View attachment 345827View attachment 345828View attachment 345829View attachment 345830View attachment 3458312 na kujiandikia historia.



Sasa sisi inatuhusu nini???
 
Vipi kuhusu viingilio!!!! Nimepata update kua Mond atacndikizwa na msanii bora wa Tz King Kibba
 
Hii show ni ya mastar wa africa walio hot kwa sasa , sasa uyo unaemzungumzia show zake mwisho kenya , aanze kwanza kujitanua ajulikane uganda na east africa yote then ndo aanze safari ya kutambulika africa kwa ujumla
Wamatopeni huyo hawezi fika level za chibu dangote kwa kipindi hiki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom