Wizi wa kutisha JNIA - tahadharini...

Hii kitu inakera sana kwakweli unajipinda huko unarudi na vitu vyako wanachukua kiulaini na huna pa kusemea zaidi ya danadana mpaka unakata tamaa
 
Kaka ukisemea habari ya nguvu za giza kuna siku nilikutana na hilizi imetupwa kwenye kontena haikujulikana kama ilitolewa kwenye begi au jamaa kwenye harakat zake akaisahau ilizua gumzo sana pia ku baabhi ya airline ni wazembe sana kufatilia wizi kwa mfano ndege ya wafanya biashara Ethiopian ai ET hii ndio balaa ikitua tu kwanza wafanyakazi wanaigombania kuihudumia ili wafanye yao ikifuatiwa na Qatar doha nayo ni mwendo uleule lakini niligundua mchongo unaanzia kwa walinzi mpaka chini aisi kama ulipanga kumpelekea ndugu yako zawadi ya gharama counter wakikwambia uiache ipite chini usikubali hata kidogo other wise iwe hairuhusiwi na wanaweza kutumia kigezo hicho lakin ikawa si kweli ni hayo tu wadau!
 
Exactly Mkuu ..UMEMALIZA .. ahsante.
 
Hii ni aibu kubwa sana kwa Taifa.
Yaani raia mwenzangu uje umkute mtalii kaja kusepend viji dola $$$ vyake hapa nchini halafu wanamtendea.. duuh !!

Au Mwanafunzi anarudi nyumbani baada ya kuishi nje akifia tu Firsty impresshen wanamfuta vitendea kazi... mmmh !!

Au Mwekezaji analeta maandalizi ya shughuli zake halafu wanavifyetua on arrival.. Khaaah !!
yaani masuali na mshangaao yapo mengi ???


aye
Dengue
Very sad!!
 
Sina uhakika na eneo la mizigo, lakini napenda kuwapongeza JNIA kwa uaminifu pia: nilikagua final check nikaacha simu na laptop. Nashuhudia kuwa niliporudi nikapewa Mali zangu baada ya kuthibitisha in vyangu. Hapa lazima niwasifie kuwa waaminifu
 
Sins uhakika na eneo la mizigo, lakini napenda kuwapongeza JNIA kwa uaminifu pia: nilikagua final check nikaacha simu na laptop. Nashuhudia kuwa niliporudi nikapewa Mali zangu baada ya kuthibitisha in vyangu. Hapa lazima niwasifie kuwa waaminifu
Hongera ..
 

Una bahati kweli maana nilitoka Dar nilipofika KIA nikakuta wamenichapa perfume yangu ya bei mbaya pamoja na kibegi changu cha toiletries
 
Dawa yao ni kubeba yale masuit case ya plastic nzito manake mabegi zipu wanafungua hata kwa kutumia peni kisha wakimaliza wanavuta zipu ilipokuwa ikipita inarudi kuwa kama ilivyokuwa awali wamemaliza hapo au wekeni zole cling firm's mtu akichana ile ni uthibitisho tosha kuwa umeibiwa kinyume na hapo tutaendelea kulalamika kila uchao manake wizi uko pale miaka nenda rudi kuna babu zetu waliiba wakaleta watoto wao wameiba na sasa kuna vijukuu vinaiba tutegemee hii generation kuendelea tu kuiba.
 
JNIA kuna wizi uliokubuhu..yaani sijui ni njaa au maisha magumu ila wabongo (baadhi yetu) ni wezi sana. Kuna siku nasafiri tokea hapo wakanichomolea vitu kadhaa na kuvunja zipu ilikuwa ni direct flight. Na hili sikulifumbia macho niliwasilisha kwa wahusika hapo kuhusu huo wizi.
Siku hizi nafanyia wrapping mabegi yangu japo ni gharama lakini ahueni. Next nitakatia insurance mizigo yangu.
 
Mwananchi wanafanya utafiti ndo maana ni gazeti bora hapa nchini.... jitahidi sana kuto weka vifaa vya thamani kwenye mabegi yaendayo chini kwenye ndege.... S.Africa nao ni hatari sana pia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…