Dengue, hii habari iliandikwa zamani baada ya matukio kadhaa ila miebinafsi yamenikuta jana 7/ 8th May!! (ktk kufuatilia, kumbe kuna malalamiko kibao) !!Hii habari ya lini?
Au ndio mambo ya copy and paste?
Exactly Mkuu ..UMEMALIZA .. ahsante.Kaka ukisemea habari ya nguvu za giza kuna siku nilikutana na hilizi imetupwa kwenye kontena haikujulikana kama ilitolewa kwenye begi au jamaa kwenye harakat zake akaisahau ilizua gumzo sana pia ku baabhi ya airline ni wazembe sana kufatilia wizi kwa mfano ndege ya wafanya biashara Ethiopian ai ET hii ndio balaa ikitua tu kwanza wafanyakazi wanaigombania kuihudumia ili wafanye yao ikifuatiwa na Qatar doha nayo ni mwendo uleule lakini niligundua mchongo unaanzia kwa walinzi mpaka chini aisi kama ulipanga kumpelekea ndugu yako zawadi ya gharama counter wakikwambia uiache ipite chini usikubali hata kidogo other wise iwe hairuhusiwi na wanaweza kutumia kigezo hicho lakin ikawa si kweli ni hayo tu wadau!
Labda wewe c mtanzania.. 80% ya bidhaaaa Iwe duka I au mtaani Inapita kiwizi.... mpaka dawa za panadol endelea kuota mkuuHongera sana ..
kwa mnunuzi hana shauri (sijui sheria inasemaje) ila mie chakuibiwa sinunui!!
Yaani raia mwenzangu uje umkute mtalii kaja kusepend viji dola $$$ vyake hapa nchini halafu wanamtendea.. duuh !!Hii ni aibu kubwa sana kwa Taifa.
Hongera ..Sins uhakika na eneo la mizigo, lakini napenda kuwapongeza JNIA kwa uaminifu pia: nilikagua final check nikaacha simu na laptop. Nashuhudia kuwa niliporudi nikapewa Mali zangu baada ya kuthibitisha in vyangu. Hapa lazima niwasifie kuwa waaminifu
Mmmh labda nijiite nna bahati sijawahi kupoteza chochote pamoja na kutumia sana sana airport hiyo,vingine huenda vinapotelea airport nyingine kama utakuwa umepanda ndege za transit,hasa ndege zinazopita nchi zetu hizi za ulimwengu wa 3 japo sikatai na hapa kwetu wanafanya pia mchezo huo
Heeee nchi hii in general ni jipuuu walahi watu wengi sana wezi yaani njaa za Panya KIBAO Tena na wewe ni mmojawapobaadhi tu.. Lakini wapo raia wema zaidi 80% !!