Wizi wa kubadilishiwa ATM

Wapendwa kuweni macho...nilikua pale Total nje ya mcity nikaenda kutoa hela NBC nikakuta machine haitoi hela since ni master card nitaenda atm ya CRDB..mule ndani alikuepo mdada mdogo kwa umbo looks naive..
Nikamuuliza hutoki? Akajibu endelea tu natoa hela nyingi so nitawachelewesha so endelea...akaendelea kuongea hlf dada utoe card taratibu hii Atm ina tabia ya kukwaruza card..nikajibu sawa..
Nimefanya muamala card ilivyotoka huku machine inahesabu hela akasogea akawa anaivuta card yangu.. Madai yake anaitoa taratibu isikwaruzike (kumbe alinibadilishia card na alishakariri password yangu)
Nikatoa hela nikapokea card toka kwake nikaondoka... Nikawaza tu hajatoka coz Atm inatoa elfu 5 5 so note 40 ni laki 2 labda anatoa milioni coz alikua anahesabu pale...sikumjali nikaondoka.
Kesho yake nilisafiri kikazi Dodoma, stayed for 2 wiks hapo cjui km nilibadilishiwa card since siku access Atm...
Basi nimerudi Dar naenda kutoa hela kila nikiweka password Naambiwa nakosea card ikamezwa.. Nikaingia ndani bank kunitolea card iliyomezwa nikawaambia sio hyo wakasema hii pekee ndio imekutwa kuicheck sio yangu.. Nikawatajia acc # kuangalia miamala kibao imeshafanywa wameiba 8m kumbe kila siku walikua wanatoa..
Nikawasimulia incidence ya yule binti wakaniambia yule dada wanamtafuta sana ameshaibia watu wengi kwa style ya kubadilisha card akishakariri password..na hakuna namna watanerefund coz ukiwa ndani ya ATM unatakiwa uwe peke yako nilipaswa nimwambie atoke..
So thts it dears.. Nna maumivu apa mchaga 8m usawa huu Uuuuwii
Ww ulitaka wakurefund kwa uzembe wako?? By the way why did you trust a stranger to help you pick a card from ATM? Ilikuwa mara ya kwanza kwako kutumia ATM hadi usaidiwe kutoa kadi kwenye mashine ya ATM? Kumbuka hata namba tu za kwenye kadi yako ya ATM hatakiwi kuzi access yeyote zaidi yako wewe tu, hata mfanayakazi wa benk hatakiwi kuzi access. Pole mkuu, hapo umeingia darasani, next time hutatapeliwe mamilioni kwa maana utakuwa makini zaidi. Hata mimi nimeshatapeliwa mara kadhaa japo si kwenye atm, ila mara zote nilizotapeliwa sina cha kulaumu bali nilijifunza zaidi kuliko nilichopoteza, naamini kwako pia itakuwa hivyo.
 
Hiyo ATM haina walinzi? Na je haina anti-skimming device au PIN protector ili mtu mwingine asione PIN yako? Nadhani kuna uzembe fulani CRDB.
Acha kusingizia benki kwa uzembe wa mwenye kadi yake. Ww ulitaka kila unavotoa pesa mtu awepo pale? Huu ni uzembe wa hali ya juu kabisa, kila chumba cha atm machine kuna tangazo la kutunza kadi yako na taarifa zote zilizomo kwenye kadi, ni ajabu bado mtu unamruhusu akusaidie kutoa kadi kwenye atm!!!
 
Wapendwa kuweni macho...nilikua pale Total nje ya mcity nikaenda kutoa hela NBC nikakuta machine haitoi hela since ni master card nitaenda atm ya CRDB..mule ndani alikuepo mdada mdogo kwa umbo looks naive..
Nikamuuliza hutoki? Akajibu endelea tu natoa hela nyingi so nitawachelewesha so endelea...akaendelea kuongea hlf dada utoe card taratibu hii Atm ina tabia ya kukwaruza card..nikajibu sawa..
Nimefanya muamala card ilivyotoka huku machine inahesabu hela akasogea akawa anaivuta card yangu.. Madai yake anaitoa taratibu isikwaruzike (kumbe alinibadilishia card na alishakariri password yangu)
Nikatoa hela nikapokea card toka kwake nikaondoka... Nikawaza tu hajatoka coz Atm inatoa elfu 5 5 so note 40 ni laki 2 labda anatoa milioni coz alikua anahesabu pale...sikumjali nikaondoka.
Kesho yake nilisafiri kikazi Dodoma, stayed for 2 wiks hapo cjui km nilibadilishiwa card since siku access Atm...
Basi nimerudi Dar naenda kutoa hela kila nikiweka password Naambiwa nakosea card ikamezwa.. Nikaingia ndani bank kunitolea card iliyomezwa nikawaambia sio hyo wakasema hii pekee ndio imekutwa kuicheck sio yangu.. Nikawatajia acc # kuangalia miamala kibao imeshafanywa wameiba 8m kumbe kila siku walikua wanatoa..
Nikawasimulia incidence ya yule binti wakaniambia yule dada wanamtafuta sana ameshaibia watu wengi kwa style ya kubadilisha card akishakariri password..na hakuna namna watanerefund coz ukiwa ndani ya ATM unatakiwa uwe peke yako nilipaswa nimwambie atoke..
So thts it dears.. Nna maumivu apa mchaga 8m usawa huu Uuuuwii
Nawe unatoaje fedha atm ukiwa na mtu usiyemjua???? Inaingia akilini kweli??? Na unafikiri kwa nn eneo ni dogo? Kuna maana gani kujenga vile? Ili uingie peke yako otherwise wangeaxha km hall kila mtu aingie. Pole japo ni uzembe unless unataka kutufunga maboya
 
Cjui alionaje password aaisee cjui inaweza kuwa nlikua mzembe tho alikua ame concentrate kuhesabu hela zake na..wkt anavuta card mm nilikua nazidaka hela nilihisi anataka kuchukua zile hela..
Nikiri tu huyu dada ni expert
Kawaida atm za crdb huanza kutoka kadi ndio zinafuata hela.....

Kadi na hela hazitoki pamoja

Mmmh
 
Wapendwa kuweni macho...nilikua pale Total nje ya mcity nikaenda kutoa hela NBC nikakuta machine haitoi hela since ni master card nitaenda atm ya CRDB..mule ndani alikuepo mdada mdogo kwa umbo looks naive..
Nikamuuliza hutoki? Akajibu endelea tu natoa hela nyingi so nitawachelewesha so endelea...akaendelea kuongea hlf dada utoe card taratibu hii Atm ina tabia ya kukwaruza card..nikajibu sawa..
Nimefanya muamala card ilivyotoka huku machine inahesabu hela akasogea akawa anaivuta card yangu.. Madai yake anaitoa taratibu isikwaruzike (kumbe alinibadilishia card na alishakariri password yangu)
Nikatoa hela nikapokea card toka kwake nikaondoka... Nikawaza tu hajatoka coz Atm inatoa elfu 5 5 so note 40 ni laki 2 labda anatoa milioni coz alikua anahesabu pale...sikumjali nikaondoka.
Kesho yake nilisafiri kikazi Dodoma, stayed for 2 wiks hapo cjui km nilibadilishiwa card since siku access Atm...
Basi nimerudi Dar naenda kutoa hela kila nikiweka password Naambiwa nakosea card ikamezwa.. Nikaingia ndani bank kunitolea card iliyomezwa nikawaambia sio hyo wakasema hii pekee ndio imekutwa kuicheck sio yangu.. Nikawatajia acc # kuangalia miamala kibao imeshafanywa wameiba 8m kumbe kila siku walikua wanatoa..
Nikawasimulia incidence ya yule binti wakaniambia yule dada wanamtafuta sana ameshaibia watu wengi kwa style ya kubadilisha card akishakariri password..na hakuna namna watanerefund coz ukiwa ndani ya ATM unatakiwa uwe peke yako nilipaswa nimwambie atoke..
So thts it dears.. Nna maumivu apa mchaga 8m usawa huu Uuuuwii
Asante kwa taarifa ingawa umenikera mwisho kusema umeibiwa 8m... usawa huu mtu wa kawaida kama wewe kama huuzi unga utapata wapi 8m ya kuiweka tu bank... acha mbwembwe bhana.
 
Wapendwa kuweni macho...nilikua pale Total nje ya mcity nikaenda kutoa hela NBC nikakuta machine haitoi hela since ni master card nitaenda atm ya CRDB..mule ndani alikuepo mdada mdogo kwa umbo looks naive..
Nikamuuliza hutoki? Akajibu endelea tu natoa hela nyingi so nitawachelewesha so endelea...akaendelea kuongea hlf dada utoe card taratibu hii Atm ina tabia ya kukwaruza card..nikajibu sawa..
Nimefanya muamala card ilivyotoka huku machine inahesabu hela akasogea akawa anaivuta card yangu.. Madai yake anaitoa taratibu isikwaruzike (kumbe alinibadilishia card na alishakariri password yangu)
Nikatoa hela nikapokea card toka kwake nikaondoka... Nikawaza tu hajatoka coz Atm inatoa elfu 5 5 so note 40 ni laki 2 labda anatoa milioni coz alikua anahesabu pale...sikumjali nikaondoka.
Kesho yake nilisafiri kikazi Dodoma, stayed for 2 wiks hapo cjui km nilibadilishiwa card since siku access Atm...
Basi nimerudi Dar naenda kutoa hela kila nikiweka password Naambiwa nakosea card ikamezwa.. Nikaingia ndani bank kunitolea card iliyomezwa nikawaambia sio hyo wakasema hii pekee ndio imekutwa kuicheck sio yangu.. Nikawatajia acc # kuangalia miamala kibao imeshafanywa wameiba 8m kumbe kila siku walikua wanatoa..
Nikawasimulia incidence ya yule binti wakaniambia yule dada wanamtafuta sana ameshaibia watu wengi kwa style ya kubadilisha card akishakariri password..na hakuna namna watanerefund coz ukiwa ndani ya ATM unatakiwa uwe peke yako nilipaswa nimwambie atoke..
So thts it dears.. Nna maumivu apa mchaga 8m usawa huu Uuuuwii
Hakuna ukweli hapa inawezekane mtu akubadilishie kadi na kwann ukubali atoe kadi yako kwenye atm na wew upo? Au ndo ugeni wa jj? Kwa wewe mtu wa wapi maana makabila mengne vana shida!! Unatakiwa kushitakiwa kwa uzembe wewe
 
Pole

Inamaana wakati unabofya password yako ulimpa nafasi aone kila unachofanya siyo? Hapa kidogo hukuwa makini.

Na wakati anakusaidia kutoa card yako ulikuwa humwangalii? Ulimwachia nafasi kabisa aitoe card bila kutazama kwa makini?

Pamoja na uzembe kidogo uliofanya inaonyesha huyo dada ni mzoefu sana anajua kutumia tricks kukufanya usiwe makini wakati anakusaidia kutoa card.

Aisee pole sana 8m sio hapa.
mkuu acha kujichosha na maswali kwa hadithi ya uwongo,wewe changia tu unachojisikia..mleta mada mwenyewe aitwa drama queen
 
Jamani kwani humu ndani hamna mtu mwenye avc NBC atupe uhakika kuwa NBC hawana huduma ya kumtumia mteja wao msg pindi tu anapotoa hela kwenye ATM ?
 
Ila umeibiwa kizembe sana..... Me siingii atm kama aliepo hajatoka, na siruhusu maelekezo yoyote maana najua nilichofata. Kwan wewe mgen jiji ili? Ulikua mzembe sana
 
Nakumbuka siku moja nlikuwa pale Posta ya zamani NBC Bank ATM, nlipomaliza muamala wangu wakati nnatoka, aliyekuwa anaingia lilikuwa jitu la miraba minne, akaniomba nimuuelekeze namna ya kutumia visa card yake toka Stanbic, Machale yakanicheza, nkajua hawa ni wale wale, nkajifanya simu inaita nkawa nnapokea huku nkiwa namuelekeza kuwa wa nyuma yake atamsaidia.

Akaghairi, nkajua kuwa walikuwa pamoja. Ilkuwa siku ya j2. Na kama ujuavyo j2 maeneo ya Posta watu sio wengi.

Tuee makini sana kwenye haya maeneo ya ATM. Wanao randa randa maeneo hayo sio watu wazuri. Wengine hudirokinhata kuweka mini camera na kuwaibia watu pasiwedi zao. Kisha kuzitumia kuwaibia watu kwenye accounti zao.
 
Hii story ya kuwa aliingia na kukusaidia kutoa ni ngumu kumeza kabisaa.
Bora ungesema iliangua akakusaidia kuokota, lakini wewe hapa na yeye hapohapo hapana!
Akili yangu imekataa kukubali hiyo ishu yako.
Asante kwa tahadhari japo haitakuja kutokea kitu kama hicho kwangu....
 
Wapendwa kuweni macho...nilikua pale Total nje ya mcity nikaenda kutoa hela NBC nikakuta machine haitoi hela since ni master card nitaenda atm ya CRDB..mule ndani alikuepo mdada mdogo kwa umbo looks naive..
Nikamuuliza hutoki? Akajibu endelea tu natoa hela nyingi so nitawachelewesha so endelea...akaendelea kuongea hlf dada utoe card taratibu hii Atm ina tabia ya kukwaruza card..nikajibu sawa..
Nimefanya muamala card ilivyotoka huku machine inahesabu hela akasogea akawa anaivuta card yangu.. Madai yake anaitoa taratibu isikwaruzike (kumbe alinibadilishia card na alishakariri password yangu)
Nikatoa hela nikapokea card toka kwake nikaondoka... Nikawaza tu hajatoka coz Atm inatoa elfu 5 5 so note 40 ni laki 2 labda anatoa milioni coz alikua anahesabu pale...sikumjali
nikaondoka.

Kesho yake nilisafiri kikazi Dodoma, stayed for 2 wiks hapo cjui km nilibadilishiwa card since siku access Atm...
Basi nimerudi Dar naenda kutoa hela kila nikiweka password Naambiwa nakosea card ikamezwa.. Nikaingia ndani bank kunitolea card iliyomezwa nikawaambia sio hyo wakasema hii pekee ndio imekutwa kuicheck sio yangu.. Nikawatajia acc # kuangalia miamala kibao imeshafanywa wameiba 8m kumbe kila siku walikua wanatoa..
Nikawasimulia incidence ya yule binti wakaniambia yule dada wanamtafuta sana ameshaibia watu wengi kwa style ya kubadilisha card akishakariri password..na hakuna namna watanerefund coz ukiwa ndani ya ATM unatakiwa uwe peke yako nilipaswa nimwambie atoke..
So thts it dears.. Nna maumivu apa mchaga 8m usawa huu Uuuuwii
Hii imekaa kidramadrama, ngumu sana kuiamini maana inajenga maswali badala ya kuacha majibu.
We unaingia ATM kuchukua pesa bila ya kuwa na taadhari hata chembe tena mji wenyewe dar?
Badala ya kuchukua pesa unaanza kupiga story na mtu usiye mjua ndani ya atm? na unakubali kusaidiwa kutoa kadi kwa atmkwa ugumu gani we usiweze?

Unaingiza password yako openly bila ya kuweka japo kigingi?

Pesa uibiwe kwa uzembe wako via atm card afu eti benki wawajibike kukurefund wewe kwa uzembe wako?
Mpaka kadi inamezwa na unaingiza namba ya siri, kwani screen ya atm mashine ilikuwa haionyeshi jina la mwenye kadi?
Uibiwe hata polisi usiende kweli?
Umesafiri mpaka dodoma in two weeks kwa laki mbili tu wakati una 8m bak?

We acha majigambo eti 8m wakati umeweka bank pesa ya mgao wa vikoba. Unafaham 8m wewe?

Hongera, ukujaribu tena utakuwa mtunzi mzuri wa hadithi.
 
Ungekuwa na hiyo milioni 8 kwenye akaunti ungekuwa makini zaidi. JF ni zaidi ya unavyofikiria. Jipange uilete upya habari yako.
 
Back
Top Bottom