Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,494
Mkuu Tengeru inaitwa soko la simu hasa siku ya j5 na jmosi...siku ya soko, wamelizwa watu wengi, kuna wezi wa simu profesheno waiba hada gari iko kwenye mwendo, ukiweka sikioni imeenda.
Jkt walisaidia sana walikuwa na mradi wa ujenzi pale Chuo cha ualimu Patandi kilichoko Tengeru stand waliwadhibiti sana.
Kwasasa kuna nafuu flani, kuna vijana wa mtaa flani unaitwa SING'ISI yaani hawafai weka mbali na jamii, polisi haingii pale kizembe ni zaidi ya hatari. Ukipata ajali na eneo la Sing'isi haijalishi ni saa ngapi mchana wew mwite Yesu mnazareth.
Hahahaaa.....Hawa wanaume wa Sing'isi wakiingia shamba la anaeitwa mwekezaji ni dakika sifuri unaona vifusi na visiki
Nimekaa Tengeru kiasi fulani na ni jamaa fulani wakora kuliko maelezo....wazee wa mapanga na visu