Hivi majengo ya chuo yanastahili kutumika kama ofisi za wizara badala kuongeza idadi ya wanafunzi wa kujiunga chuo kikuu Dodoma? Miaka 55 ya uhuru ofisi za serikali zilikuwa DSM kuna haraka gani kuhamia Dodoma wakati hamkujiandaa kujenga ofisi na makazi ya watumishi ?
Waziri mkuu mwenyewe pamoja na kuhamia Dodoma lakini kila siku yupo Dsm kwa kuwa bwana mkubwa bado yupo Dar, lazima afuate maagizo huko Dar na halikadhalika mawaziri waliohamia Dodoma, naona ni kuongeza gharama kuliko kubana matumuzi.
Mwaka huu usishangae wakaja kupunguza udahili wa wanafuzi UDOM.