Nami sijui ni lugha gani , wizara imekoswa.....Kukoswa ndo nini??
Kwa hiyo ulitaka wakae dsm mpaka lini hiyo UDOM yenyewe ilianza kwa jengo la CCMUamuzi wa serikali kuhamia dodoma ulikuwa wa kukurupuka kama walikuwa bado hajajipanga wamekimbilia huko kutafuta sifa?
Posho ya nini?>> vitu vya kuforce hivi wafanyakazi hata posho hawana
>>
Kwa hiyo kama watanzania ni masikini wa kutupwa ndo safari ya dodoma isifanyikeWanamuenzi mtu ambaye alisema ni watu wachukue yale mzuri aliyoyafanya na kupendekeza! Sioni kama makao makuu ya nchi ni kipaumbele kwa sasa ilhali bado watanzania wengi ni maskini wa kutupwa.
Yaani toka 1970 hadi leo?. Na bado mnasema tuongeze muda wa kusogeza huduma katikati kunakofikika na wengi? Nyie hampendi maendeleo ya wengi.Haraka haraka haina baraka.
Ndiyo. Fedha zinazotumika kwa kuhamia Dodoma zitumike kujenga miundombinu ya umwagiliaji hapo Dodoma ili wagogo wasije kula viwavi tena!Kwa hiyo kama watanzania ni masikini wa kutupwa ndo safari ya dodoma isifanyike