Wito kwa Mh Sugu: Barabara mbovu Mbeya

Hii barabara haitengenezwi na jimbo au jiji.Hii barabara inakarabatiwa na serikali kuu na msimamizi ni TANROADS

Kamuulize nape kasema kwao kote yeye tu ndio anafanya hayo na sio serikali.

Mbunge wenu yupo kuchangia udaku tu bungeni, subirini ajitambue basi atapata muda June 2020.
 
Yani hiyo barabara inaboa kuanzia kadege mpaka kushuka maeneo ya nzovwe kwa mbele ni mbovu sana alafu cha ajabu wameikwangua mpaka Leo ipo vile vile tunaishia kuona vifusi vya lami tu sijui wakandarasi hawajalipwa
 
Kasome kibao cha mkandarasi pale MBEMBELA ujue itaisha lini
 
Kamuulize nape kasema kwao kote yeye tu ndio anafanya hayo na sio serikali.

Mbunge wenu yupo kuchangia udaku tu bungeni, subirini ajitambue basi atapata muda June 2020.
Haya mama Naibu wa Spika na marathon zako tutakukuta Tunduma 2020
 
Pesa za kuendeleza jimbo anatumia kujiendeleza, posho posho za enzi zile hakuna. Msubirini ikifika June,2020 atawatengenezea na itaharibika tena Nov,2020. Ndio mtazidi kumuita raisi wa huko
Kaka pesa za jimbo sio za kufanyia ukarabati wa barabara za TANROADS
 
mh Sugu heshima kwako HE president wa Mbeya.

sikumbuki kusikia au kusoma mahala kokote siku za karibuni kama umeshaiwashia mamlaka yenye dhamana ya barabara kuhusiana na hiki kipande cha barabara ya Tunduma, kuanzia Forest hadi Nzovwe ambacho kimevurugwa vurugwa na kimekuwa kero kubwa kwa watumiaji.

ikumbukwe kuwa hii barabara ni sehemu ya Trans-African Highway 4 (TAH 4), inayounganisha majiji ya Cairo na Capetown (Cairo–Gaborone–(Pretoria/Cape Town) Highway).

ni fedheha kuona sehemu ya barabara hii maarufu na muhimu barani Afrika inakuwa mbovu kiasi hiki tena sehemu hiyo ikiwa ndani ya jiji lako la (nchi yako ya) Mbeya.

wananchi wanategemea kusikia ukilipigia kelele hili huko bungeni kwa nguvu zote!
Kwanza hiyo ni TANROAD na pesa inatoka serikalini na sio kwenye mfuko wa jimbo mkuu, hivyo hapo ni serikali sio mbunge coz barabara hiyo haiko chini ya jiji wala halmashauri ya jiji kwa hiyo hapo mbunge utamuonea kwakweli ingawa sijajua itikadi yako lakin nadhani umeongea kama mtamzania mpenda nchi yako .
 
Kamuulize nape kasema kwao kote yeye tu ndio anafanya hayo na sio serikali.

Mbunge wenu yupo kuchangia udaku tu bungeni, subirini ajitambue basi atapata muda June 2020.
We mbuzi mbunge wako muimba taarabu pale bungeni kwenye jimbo lako la mtera kafanya kipi cha maana,yaani iko kipande kipo kwenye matengenezo unamlaumu sugu kwa kipi
 
Yani hiyo barabara inaboa kuanzia kadege mpaka kushuka maeneo ya nzovwe kwa mbele ni mbovu sana alafu cha ajabu wameikwangua mpaka Leo ipo vile vile tunaishia kuona vifusi vya lami tu sijui wakandarasi hawajalipwa
Kwahiyo sugu ndo awalipe wakandalasi au
 
Pesa za kuendeleza jimbo anatumia kujiendeleza, posho posho za enzi zile hakuna. Msubirini ikifika June,2020 atawatengenezea na itaharibika tena Nov,2020. Ndio mtazidi kumuita raisi wa huko
Yaani kweli nimeamini kumbe huku tunahangaika na vijitu visivyo kuwa na elimu kabisa kabisa yaan 0 kabisaa , poleni sana kwa kujipa utumwa wa hiyari ,pole

BARABARA HIYO NI TANROAD HAIHUSIANI NA MFUKO WA JIMBO NA WALA HAIKO CHINI YA JIJIWALA MKOA

.muwe mnaenda na shule basi jaman nyie vilazaa ..shit kumbe mnatuchosha tu humu na mawazo yetu mepesi kila siku kumbe weupe kichwan hakuna mnacho jua zaid ya kushangili CCM kama mazuzu. Ptuuuu!! Umetia aibu
 
Tatizo hilo ni la kitaifa..Tanzania penyewe mvua znanyesha barabara hazipitiki sembuse uko Tanganyika..vumilia tu tumenunua boeing
 
Elimu bado kwa Watanzania, hatujui majukumu yetu wala viongozi wetu kipi wanapaswa kufanya na wasifanye, bila kukariri alichokisema mleta uzi, ninachokijua na ndo ilivyo, kazi mojawapo ya mbunge ni pamoja na kutetea jimbo lake bila kujali kama kile anachokitetea kipo chini ya serikali kuu au la! Mtoa uzi amemkumbusha mbunge , na ni haki yake kimwambia hivyo, mbunge ni muwakilishi wa watu wote katika jimbo lake, kila kero ya wananchi inaweza kufikishwa kwa serikali kupitia mbunge na viongozi wengine. Tutambue wajibu wetu na viongozi wetu pia
 
Mara ya mwisho kuja mbeya lini?wakazi wa mbeya tunachojua barabara ipo chini ya mkandarasi na yupo site anaendelea na kazi
mkuu uko Mbeya ipi? mimi nipo huku karibia mwezi sasa na sijaona mkandarasi yeyote hapa. ni vumbi tu linatimka!

kutetea udhaifu huu si kumsaidia mbunge wetu ambaye kwa kweli anafanya kazi kubwa sana. lakini kuhusu hili la barabara hii, huku mtaani watu wanasubiri kumsikia akilisema hili bungeni.
 
Asitusahau na wakaazi wa MUST. Tunashukuru hapa katikati waliweka kifusi toka Iyunga mpaka chuo, but mvua zimeshaanza kukisambaratisha. Kama vipi watutwangie lami wajameni
 
Kwanza hiyo ni TANROAD na pesa inatoka serikalini na sio kwenye mfuko wa jimbo mkuu, hivyo hapo ni serikali sio mbunge coz barabara hiyo haiko chini ya jiji wala halmashauri ya jiji kwa hiyo hapo mbunge utamuonea kwakweli ingawa sijajua itikadi yako lakin nadhani umeongea kama mtamzania mpenda nchi yako .
mkuu, hili suala halihitaji itikadi. ni jambo linaloathiri watu wote.

najua serekali kuu ndiyo inawajibika kusimamia matengenezo ya hii barabara lakini bado bunge au mbunge yeyote anawajibika si tu kuisimamia bali kuonekana na wananchi kuwa anaisimamia serekali kwa nguvu zote.

kumbuka: matatizo ya maji, elimu, umasikini, miundombinu, nk kwenye majimbo - platform pekee kwa mbunge kufikisha kilio serekalini ni bungeni.

kwa hili la hapa Mbeya mh Sugu akilinyamazia si sahihi na ni jukumu la wana Mbeya kumkumbusha kwenye hili just in case amesahau!
 
Back
Top Bottom