iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,929
Kuna wimbi kubwa la nyimbo kutungwa zikiwasifia akina mama na kuwaweka kando akina baba.hii ni dalili tosha kwamba akina mama ndio wazazi na wanajua baba halisi wa watoto wao.na kwa kuwa ni siri kubwa akina mama hupandikiza chuki dhidi ya baba katika halo ya kuonyesha kwamba huyo sio baba halisi