wingi wa nyimbo kusifia akina mama ni dalili akina baba kubambikiwa watoto

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,929
Kuna wimbi kubwa la nyimbo kutungwa zikiwasifia akina mama na kuwaweka kando akina baba.hii ni dalili tosha kwamba akina mama ndio wazazi na wanajua baba halisi wa watoto wao.na kwa kuwa ni siri kubwa akina mama hupandikiza chuki dhidi ya baba katika halo ya kuonyesha kwamba huyo sio baba halisi
 
Kwa ufupi nyimbo zinapishana miezi tu au mwaka angalia mashauzi,christian Bella na wengine weeengi
 
Back
Top Bottom