Windows 10 mobile is officialy out

ngapi unaweza kuzicontrol? feedback ni muhimu.

na kama nilivyosema matundu ni mengi kama pakacha kuna vitu vingi sana, juzi nasoma gsmarena kuna malware wanaexploit soc kama mediatek na kujipa root acess (hata kama hujaroot simu) na kujieka kama system file.

angalia hapa jukwaani wangapi wanalaalmikia matangazo kama monkeytest na wengineo? na ukitrace hizi app zote ni system files zimefikaje huko?
1457973060420.jpg
1457973149116.jpg

Kuanzia hili toleo kidogo android wameanza kuja ninapopata ingawa mpaka sasa simu yangu ya kazi ni iphone tu, nb:hizi ni screen shot za HTC One A9
 
Mi ninayo rangi orange na nyeusi
Nipe 350,000/- tsh

Hajjmakwato
Itakuwa simu bandia kwa sababu mpya ni $200 huko zinakotengenezwa.
Sasa kwa bei hiyo we umeipata kwa shiing ngapi na umeiingiza nchini kwa costs gani na faida yako shiiing ngapi?
 
It is now officially out.

Nimeupdate iko mubyee sana.

This is what i have been waiting for a couple of years...., it is finally out.
 
Back
Top Bottom