Wimbi la content creators toka Kenya na Uganda kutembelea Dar na Hasa mradi wa SGR kuna nini?

Content creators toka Kenya na Uganda wanamiminika Dar kwa siku za karibuni na wote wanaishia kutembelea mradi wa SGR.

Kuna nini huko SGR wajemeni. Maana sio kwa spidi hiyo.

Anyways karibuni sana 🇹🇿.
Sio SGR tuu pia wanafanya video nyingi Dar,Dom na Arusha.

Manake Tanzania sie ni Wakubwa na vioo wa EAC ,bila content za 🇹🇿 hawauzi na hawapati pesa maana kwao ni maandamano na mivutano y la Kisiasa hakuna miradi yeyote ya maana Kenya inayoendelea Kwa Sasa.

Mwisho kuja kwao pia wanaleta pesa na ni sehemu ya Watalii.👇👇

View: https://youtu.be/v70wpTFocWU?si=y6IkXqr5hTXOpUpB
 
Sio SGR tuu pia wanafanya video nyingi Dar,Dom na Arusha.

Manake Tanzania sie ni Wakubwa na vioo wa EAC ,bila content za 🇹🇿 hawauzi na hawapati pesa maana kwao ni maandamano na mivutano y la Kisiasa hakuna miradi yeyote ya maana Kenya inayoendelea Kwa Sasa.

Mwisho kuja kwao pia wanaleta pesa na ni sehemu ya Watalii.
BRT ikikamilika na kupata management nzuri , mji utabadilika mno.

Watu wanapoteza muda mwingi mno wa uzalishaji barabarani kwa Dar.
 
Content creators toka Kenya na Uganda wanamiminika Dar kwa siku za karibuni na wote wanaishia kutembelea mradi wa SGR.

Kuna nini huko SGR wajemeni. Maana sio kwa spidi hiyo.

Anyways karibuni sana 🇹🇿.
Wanakuja kuona treni ya umeme ambayo kwao hamna wanaona kwenye TV tu.
 
Content creators toka Kenya na Uganda wanamiminika Dar kwa siku za karibuni na wote wanaishia kutembelea mradi wa SGR.

Kuna nini huko SGR wajemeni. Maana sio kwa spidi hiyo.

Anyways karibuni sana 🇹🇿.
Bado wasingekuja tungewasema tu bora waje na waendelee kuja
 
Back
Top Bottom