Wi-fi problems

IBRA wa PILI

JF-Expert Member
Oct 12, 2017
1,469
2,337
Natumia simu brand ni
oppo a 31 , Leo nipo job imegoma Ku connect WiFi sijajua shida nini wenzangu simu zao wanatumia saf mmoja ana oppo A8 lakini yangu ni big no ukiwasha ina connect then later inakuja neno
no data connection sijajua natatua vipi wakuu msaada please 🙏 kumbuka WiFi ipo na wenzangu kwao fresh.tu
Chief-Mkwawa
 
Hapo jaribu troubleshoot ndogo ndogo cheki signal strength kama ni kubwa, kama ni ndogo jaribu kukaa karibu na router, jaribu kukonect wifi nyengine kama inafanya kazi, forget wifi connect upya etc.
 
Back
Top Bottom