Whatssap kwa computer sasa bila bluestack

Nimegoogle whatsapp web sasa hivi inaonyesha tarehe 10 may ndio imekuwa introduced sasa mnaosema ilikuwepo toka zamani labda ilikuwa beta version

Almost mwaka sasa Naitumia,. Kama umewahi kutumia Baidu Browser ilikuwa na whatsapp web muda sana
 
mwanzo watu wengi walikua wanatumia bluestack ila hii kutumia web yao na kuscan bar code ni mpya, na pia message ukituma kweny simu ukienda kuwasha kwa bluestck unatakiwa kuverify na unaanza upya kurecover data...lakin hii mpya unatuka text pale pale unaendelea
Ni mwaka ss natumia whatsapp wev na hy ya kuverify upya sikuwahi kukutana nayo
 
Hapa whatsapp hawajarahisisha kitu. Sana sana wanafanya ile ya kutumia direct from web browser iwe from desktop app. Ila mambo ya kuscan code ni usumbufu ule ule. Na mi nliona kuitumia ni kazi bure. Ingeleta maana kama u can still access ur account kama umesahau simu. Wangeingeza tu security kwa hy access
 
SASA UNAWEZA TUMIA WHATSAPP SAMBAMBA KWA SIMU JANJA NA KOMPYUTA YAKO






Kampuni mama ya mtandao wa facebook imetangaza muendelezo wa mbadiliko mazuri mapya kwa mtandao wa mawasiliano unaotumika kwa kasi sana wa whatsap

Mtandao wa whatsap unafanya vizuri ukiwa na rekodi ya watumiaji zaidi ya billion wanao tumia kwa Mwezi katika uwanda wao wa ujumbe, tatizo kubwa pale watu wnapopoteza simu na kutaka kuendelea kutumia mtandao huo ambapo ilibidi mpaka aidha ununue simu mpya au ushushe toka mtandaoni aplikakesheni ya bluestack ndo uweze kuipta whatssap tena katika kompyuta yako.

Habari njema ni kwamba siku ya jumanne facebook wametangaza kuleta mtandao wa whtasap katika kompyuta za mezani zinazotmia window 8 na kuendelea pamoja na bidhaa za apple mac os x9 (mavericks) na zaidi.
Unaweza kutumia simu yako na muda huo ukitumia whatsap ya kwenye kompyuta yako, pia unaweza kutumia shotikati, pia utapata taarifa fupi kuhusiana na lolote linaloendelea ktaika whatssap yako.

Kuipata whatssap ya kompyuta ya mezani ingia hhtps://www/whatsap.com/download baada ya kupata ifungue alafu uiskani qr code (fungua whtasap yako ya simu ingia kwenye halafu fungua whtsap web) kwa kutumia whtsap yako ya simu janja yako ya TECNO, hivyo unaweza iweka kwa chaji simu yako na kuendelea na kuchat kwa kompyuta

Kama whtsap yako ya kweny simu hii mpya pia inakuja nafasi ya kuchati na marafiki wakati simu yako ipo mfukoni hasa wale wa ofisini unaweza endelea itumia na simu ikawa inafanya mambo mengine.

SOURCE: Introducing WhatsApp's desktop app - WhatsApp Blog
wala sio nzuri maana lazma simu iwe online
 
Ni mwaka ss natumia whatsapp wev na hy ya kuverify upya sikuwahi kukutana nayo
Bluestack haikuwa kwa ajili ya whatsapp tuu, na bado watu tunaitumia kwa apps nyingine. Iko hv bluestack ni pc sw inayokuwwzesha kutumia apk file ambazo ndizo tunazotumia ktk android, so hata jf unaweza kuwa itumia kwa blue stack na sio hivyo hiyo tuu pia ni naweza kui install android os ktk pc na ukaitumia kama sehemu ya cmu vle vile. So pamoja na whtspp kuja na apps ya pc bado tunaweza kuendelea kuitumia ktk bluestack na kimatumizi ni nafuu kuliko hii apps ya watspp au ukiitumia kwa web maana pc itahitaji net na simi itahitaji net ila bluestack ni pc only itakayohitaji network
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom