What would you prefer?

thanx bby................but am still having my time. Its more of learning and knowing more than wanting to get one.

so wonderful, take yo time mamii before u jump there maana unaweza jump kwenye relationship ukapata maumivu mpaka ukaona ndio mwisho wa maisha yako. Mi nimepata fundisho.
 
Mh Ndahani hapa sasa umleta mtihani......... I just defined wild as in romantically wide kwa mwanamke...........but I now see that my definition is narrow it needs to be expanded................ what is wild romantically for man.... how can we define a man as a romantic wild??

Anyway,...romantic wild....ila ndani ya chumba tu!!! Mhh! Kwa maana hiyo kama ni ndani ya chumba lazima awe na nguvu za kupitiliza.
 
MJ1 sijui hata nichague ipi,nikisema wild,huo ukimya utanibore!Naweza kupenda b) lkn nahofia hizo aibu za chumbani,,lol!
 
Thanx bby................but am still having my time. Its more of learning and knowing more than wanting to get one.

Mwanajamii: kwani wewe chaguo lako ni lipi hapo?

Binafsi na-prefer A manake mambo ya hadharani pia siyo mfuasi...
 
so wonderful, take yo time mamii before u jump there maana unaweza jump kwenye relationship ukapata maumivu mpaka ukaona ndio mwisho wa maisha yako. Mi nimepata fundisho.

Me too Brandon have been there and got my share ......................so I just wanna know ili next time......if its going to be a next time......I minimize the chances of getting hurt or hurting someone.
 
Anyway,...romantic wild....ila ndani ya chumba tu!!! Mhh! Kwa maana hiyo kama ni ndani ya chumba lazima awe na nguvu za kupitiliza.

HAhahahahahh Ndahani you are making my day sweetie...... awe na nguvu za ziada jamani?? wild doesnt only mean kudo tu...... but wild in teams of utundu wake...... mf. akikukuta chumbani akutanie kukukimbiza na magic stick yake mkonon, kukiss, kukumbatia, kukubeba .... ili mradi tu awe na utundu flani. ule ambao haweziufanya mbele za watu
 
Mjukuu habari yako bana! Me penda wild bana!

Salama kabisa Babu yangu shkang'....... wild ipi upendayo sasa Babu?? Wild kote kote au wild chumbani tu?.... afu Babu mbona siku hizi posted via Mobile imekuwa nyingi sana?? Uko honemoon na bibi nini?
 
MJ1 sijui hata nichague ipi,nikisema wild,huo ukimya utanibore!Naweza kupenda b) lkn nahofia hizo aibu za chumbani,,lol!

Yaani Wiselady my sisy nimejikuta nashindwa kujua nikitakacho ndo mana nkalileta barazani maana chumbani limekuwa zito. Au pengine inabidi wakati mnaanza urafiki muulizane kila mtu anapenda wa aina gani. Kwa sababu unawezajikuta bidada uko mpole kwa chumba but mchangamfu nje ukaonekana unafake chumbani ...... au ukawa wild chumbani mpole hadharani akakuona msanii.................... ah
 
Napenda b, hizo aibu zake tutavutana mpaka atazoea na zitaisha zote

KAtelero aksante so kwako wewe aliye mwenye soni za kike chumbani but mchangamfu hadharani------- it seems wewe ni mtu wa watu. Kuna wengine wapenzi wao wakiwa wachangamfu kwa marafiki zao hadharani wanakasirika. Niliwahiona situation moja jamaa yaani alikuwa akiwa anatoka na mpenziwe kwenda kukutana na friends... anatoa lecture kwanza ....ya vipi mdada abehave, aongee juu ya nini, nini achangie na nini aache ah...... ilikuwa inanichosha ile kapo.
 
Yaani Wiselady my sisy nimejikuta nashindwa kujua nikitakacho ndo mana nkalileta barazani maana chumbani limekuwa zito. Au pengine inabidi wakati mnaanza urafiki muulizane kila mtu anapenda wa aina gani. Kwa sababu unawezajikuta bidada uko mpole kwa chumba but mchangamfu nje ukaonekana unafake chumbani ...... au ukawa wild chumbani mpole hadharani akakuona msanii.................... ah

That's why I like a lil bit of everything in one package. In other words multi-faceted and multi-dimensional
 
Mwanajamii: kwani wewe chaguo lako ni lipi hapo?

Binafsi na-prefer A manake mambo ya hadharani pia siyo mfuasi...

TANMO mydia mimi nimechanganyikiwa hapa kwa sababu naona kila moja kama ina negative yake sasa ni jinsi tu ya kuicontrol na kuimanage. But what I have learned ni kuwa you better have what resembles you.... kwa mfano wewe ambaye mambo ya hadhara huyawezi ukimpata amnaye yeye anayapenda utaboreka but I believe eventually unakujakucope naye unamwelewa au??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom